chukwani United yanyakuwa Kombe la Muungano Zanzibar

Hatimae Bingwa wa Mashindano ya Kombe ya Muungano yaliyoanza kutimua vumbi tarehe 23 April Mwaka huu na kushirikisha Timu za Soka zipatazo Kumi na Moja za Jimbo la Kiembe Samaki Wilaya ya Magharibi amepatikana na kufikia hatma yake kwenye uwanja wa michezo wa Kiembe Samaki.
Chukwani United ilitawadhwa kuwa bingwa wa kombe hilo baada ya kuikung’uta New Generation ya Kiembe samaki kwa Magoli mawili kwa bila kwenye pambano la fainali ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTimu ya Zanzibar Diaspora USA Yanyakua Kombe la Muungano Washington DC, Kwa Ushindi wa Mabao 7-1 dhidhi ya Tanganyika
5 years ago
Michuzi
SHEREHE ZA UVUNJAJI WA BARAZA LA 9 LA WAWAKILISHI ZANZIBAR-CHUKWANI LEO

10 years ago
VijimamboTANZANIA STARS UNITED BARA NDIO MABINGWA WA KOMBE LA TAMASHA 2015 LA AFRIKA MASHARIKI YAIFUNGA RWANDA 5-1 NA KUIFUNGA ZANZIBAR 4-0 MECHI YA FAINALI
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano
11 years ago
Mwananchi04 Jun
KUTOKA ZANZIBAR: Yako wapi mapato ya Zanzibar katika Muungano?
11 years ago
Tanzania Daima25 May
TBF yabadili mfumo Kombe la Muungano
SHIRIKISHO la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), limesema mashindano ya Kombe la Muungano kwa mwaka huu yatafanyika kwa mfumo wa ligi itakayokuwa na timu 16. Mashindano hayo yaliyopangwa kuanza Juni...
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Manchester United kutwa kombe?
11 years ago
MichuziZANZIBAR PETROLEUM LTD BINGWA KOMBE LA MAZINGIRA ZANZIBAR
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Wadau wamwangukia mratibu Kombe la Muungano Mufindi
WADAU wa michezo wamemwomba Mratibu wa Kombe la Muungano Mufindi, Daud Yassin, kufikiria zaidi uamuzi wake wa kustaafu kuandaa mashindano hayo na kuongeza muda zaidi wa kuratibu kwa lengo ya...