Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZANZIBAR PETROLEUM LTD BINGWA KOMBE LA MAZINGIRA ZANZIBAR

Meneja wa Zanzibar Petroleum LTD Altaf Jiwan akiwapongeza wachezaji wake kwa kuchukua ubingwa wa Kombe la Mazingira lililoandaliwa na Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar, kwa kuifunga tim ya Wizara ya Fedha kwa mikwaju ya penanti 4 kwa 3.Sherehe hizo ilifanyika Ofisini kwao Mtoni Zanzibar. Kocha wa Tim ya Zanzibar Petroleum LTD Ali Hakiba Hassan alieshika kombe na kikosi kamili cha Zanzibar Petroleum kilicho twaa ubingwa wa Kombe la Mazingira kwaka 2014/2015. Wachezaji wa Tim ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR

  Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali mkazi wa Kisauni upimaji huo ulifanyika katika kijiji  cha kisauni Zanzibar.   Dokta Fadhil Mohd ambae ni dokta dhamana kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.Wananchi mbalimbali wakipatawa  huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni zanzibar.Picha na Abdalla Omar habari maelezo zanzibar.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AHUDHURIA MAZIKO YA MAREHEMU ALI SALIM HAFIDH NA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA IKULU ZANZIBAR.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Salim Hafidh, aliyekuwa Msaidi wa Rais Hutuba , maziko hayo yamefanyika katika makaburi ya family Fuoni Mambosasa  Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kulia kwa Rais) Rais Mstaaf wa Zanzibar...

 

10 years ago

Vijimambo

Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar Wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar Wakisubiri Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar

Viongozi wa Chama cha CCM wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri matokeo ya Kura za Wagombea Urais wa Zanzibar kutangwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salim Jecha, Ukumbi wa Salama ndio kituo Kikuu cha kutangazia Matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar. Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Salama wakisubiri kutaja kwa Matokeo ya Urais wa Zanzibar na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.Viongozi wa Chama cha CUF wakiwa katika ukumbi wa Salama...

 

10 years ago

GPL

SIMBA SC YATWAA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

Mshambuliaji wa Simba SC, Danny Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Mtibwa Sugar wakati wa mechi ya fainali Kombe la Mapinduzi usiku huu huko Zanzibar. Patashika wakati wa mtanange huo.…

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR

VIONGOZI wa Madhehemu  (kushoto) Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar. Hafidh Michael na Kiongozi wa Madhehebu ya Hindu Zanzibar. Pramuk  Yoges  wakielekea katika eneo la kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kwa ajili ya  kumuombea dua iliofanyika leo katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani...

 

11 years ago

Michuzi

chukwani United yanyakuwa Kombe la Muungano Zanzibar

Hatimae Bingwa wa Mashindano ya Kombe ya Muungano yaliyoanza kutimua vumbi tarehe 23 April Mwaka huu na kushirikisha Timu za Soka zipatazo Kumi na Moja za Jimbo la Kiembe Samaki Wilaya ya Magharibi amepatikana na kufikia hatma yake kwenye uwanja wa michezo wa Kiembe Samaki.
Chukwani United ilitawadhwa kuwa bingwa wa kombe hilo baada ya kuikung’uta New Generation ya Kiembe samaki kwa Magoli mawili kwa bila kwenye pambano la fainali ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Ujumbe wa Madaktari Bingwa wa Jumuiya ya Watanzania Washington DC,MD,VA (DMV) Wawasili katika Bandari ya Zanzibar .

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Seif Suleman akiwa katika bandari ya Zanzibar kuupokea Ujumbe wa Madaktari kutoka Jumuiya ya Watanzania Washington ukiwa wenyeji wa PBZ na Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Diaspora Zanzibar wakiwa katika bandari hiyo kuupokea kwa ajili ya kutoa huduma ya Afya kwa Wananchi wa Zanzibar katika hospitali ya Mnazi mmoja kesho, Kwa muji wa Mkurugenzi wa Idara hiyo Ndg Adila Hilal Vuai amesema utatoa huduma ya Uchunguzi wa Satatani ya Maziwa kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

KOMBE LA RAMADHAN LILILOANDALIWA NA NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA ZANZIBAR

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu akifuatilia mchezo wa fainali wa Kombe la Ramadhani lililofadhiwani na yeye kwa Vijana wa Kikwajuni. kati ya Kitururu na JowsWapenzi wa mchezo wa Soka Zanzibar wakifuatilia Fainali ya Kombe la Ramadhani.Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu akimkabidhi zawadi mshindi wa Pili wa michuano hiyo timu ya Kitururu.Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu akikabidhi Mbuzi na Jezi timu Bingwa wa Kombe la Ramadhani lililofanyika...

 

10 years ago

Vijimambo

ZANZIBAR STARS YAINGIA MASHINDANO YA KOMBE LA EAST AFRIKA DIASPORA DMV

Kwamara nyengine tena timu ya Zanzibar Stars Diaspora Nchini Marekani, imejianda rasmi katika mashindano ya Mpira wa Miguu Diaspora Afrika Mashariki DMV, itakayofanyika mwishoni mwa juma hii Jumapili Sept 6, ambayo ni sikukuu ya wafanya kazi ijulikanayo kama (Labor day). Kikosi cha timu ya  Zanzibar Star Diaspora Nchini Marekani Burudani ya michuana hiyo imeandaliwa rasmi, (Kaka DC & DMV  East  Africa Diaspora Community Features) na katika
michuano hiyo time (4)  zilizowakilishwa  Kenya,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani