ZANZIBAR STARS YAINGIA MASHINDANO YA KOMBE LA EAST AFRIKA DIASPORA DMV

Kwamara nyengine tena timu ya Zanzibar Stars Diaspora Nchini Marekani, imejianda rasmi katika mashindano ya Mpira wa Miguu Diaspora Afrika Mashariki DMV, itakayofanyika mwishoni mwa juma hii Jumapili Sept 6, ambayo ni sikukuu ya wafanya kazi ijulikanayo kama (Labor day).
Kikosi cha timu ya Zanzibar Star Diaspora Nchini Marekani Burudani ya michuana hiyo imeandaliwa rasmi, (Kaka DC & DMV East Africa Diaspora Community Features) na katika
michuano hiyo time (4) zilizowakilishwa Kenya,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTANZANIA STARS UNITED BARA NDIO MABINGWA WA KOMBE LA TAMASHA 2015 LA AFRIKA MASHARIKI YAIFUNGA RWANDA 5-1 NA KUIFUNGA ZANZIBAR 4-0 MECHI YA FAINALI
10 years ago
Michuzi19 Jan
10 years ago
MichuziTimu ya Zanzibar Diaspora USA Yanyakua Kombe la Muungano Washington DC, Kwa Ushindi wa Mabao 7-1 dhidhi ya Tanganyika
11 years ago
GPLSTARS YASHINDWA KUFUZU KOMBE LA MATAIFA AFRIKA
10 years ago
Michuzi
Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars yaondoka kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)


10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars ‘Kimeeleweka’ wapaa Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)
Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air
Tanzania) jana jioni tayari kwa kuanza
safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwa ajili ya Mashindano ya Afrika
(All African Games).
Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games),...
11 years ago
Mwananchi06 Oct
Taifa Stars yaingia kambini
10 years ago
Vijimambo
East Africa Diaspora Investment Forum in Boston

Have you ever wondered how you could take a US Franchise to East Africa? How you can harness the appropriate capital to do so....?
During this exciting event in Boston,there will...
10 years ago
VijimamboTimu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup