STARS YASHINDWA KUFUZU KOMBE LA MATAIFA AFRIKA
Kikosi cha Stars. TIMU ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' imeondolewa katika kinyang'anyiro cha kuwania kufuzu kucheza Kombe la Mataifa Afrika 2015 baada ya kufungwa mabao 2-1 na timu ya Taifa ya Msumbiji 'Mambaz' leo. Mechi hiyo imepigwa mjini Maputo nchini Msumbiji ambapo Stars imeondolewa kwa jumla ya mabao 4-3 baada ya sare ya 2-2 katika mchezo kwa kwanza uliopigwa jijini Dar Julai 20 mwaka huu. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Sep
Mechi za kufuzu fainali za kombe Afrika
10 years ago
BBCSwahili31 Aug
Kombe la Mataifa ya Afrika
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Kombe la mataifa ya Afrika 2017
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Kombe la mataifa Afrika kitendawili
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
Tathmini ya Kombe la Mataifa ya Afrika
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika
10 years ago
BBCSwahili12 Jan
Maandalizi:Kombe la Mataifa ya Afrika
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Uchambuzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2015