Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mechi za kufuzu fainali za kombe Afrika

Mechi za kufuzu tiketi ya kushiriki michuano ya Kombe la Afrika zaendelea

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kenya na TZ zashinda mechi za kufuzu Kombe la Dunia

Tanzania na Kenya zimeibuka na ushindi mechi zao za kwanza za kufuzu kwa Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mechi 14 za kufuzu kwa kombe la dunia leo

Mechi 14 za mkondo wa pili wa kufuzu kwa fainali za kombe la dunia la mwaka wa 2018 nchini Urusi zinachezwa leo kote barani Afrika

 

9 years ago

BBCSwahili

Brazil, Argentina zashindwa mechi za kufuzu Kombe la Dunia

Brazil na Argentina zilicharazwa 2-0 mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia zilizochezwa Alhamisi.

 

9 years ago

Vijimambo

TANZANIA STARS UNITED BARA NDIO MABINGWA WA KOMBE LA TAMASHA 2015 LA AFRIKA MASHARIKI YAIFUNGA RWANDA 5-1 NA KUIFUNGA ZANZIBAR 4-0 MECHI YA FAINALI

Wachezaji wa timu ya Tanzania Stars United Bara  wakifurahia kikombe cha utamaduni walichoshinda leo katika mashindao ya Tamasha 2015 yaliyoshirikisha timu 4, Kenya, Rwanda, Zanzibar na Tanzania Stars United Bara. Maratibu wa mashindano hayo Kaka DC (kushoto akiongea na akiwaweka sawa marefa toka Malawi.Manahodha wa timu ya Tanzania Stars United Bara na Rwanda wakiwa katika picha ya pamoja na marefa katika mechi ya kwanza ambayo Tanzania Stars United Bara waliibamiza Rwanda mabao 5-1Kwa...

 

11 years ago

GPL

STARS YASHINDWA KUFUZU KOMBE LA MATAIFA AFRIKA

Kikosi cha Stars. TIMU ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' imeondolewa katika kinyang'anyiro cha kuwania kufuzu kucheza Kombe la Mataifa Afrika 2015 baada ya kufungwa mabao 2-1 na timu ya Taifa ya Msumbiji 'Mambaz' leo. Mechi hiyo imepigwa mjini Maputo nchini Msumbiji ambapo Stars imeondolewa kwa jumla ya mabao 4-3 baada ya sare ya 2-2 katika mchezo kwa kwanza uliopigwa jijini Dar Julai 20 mwaka huu. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani