Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawakili wa Mansour wawasilisha hati ya kuomba dhamana

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar

MAWAKILI wanaomtetea waziri wa zamani wa Zanzibar, Mansour Yussuf Himid, wamewasilisha rasmi ombi la dhamana chini ya hati ya dharura (certificate of urgency) katika Mahakama Kuu ya Zanzibar ambayo ndiyo yenye uwezo wa kutoa dhamana kwa aina ya makosa aliyoshtakiwa nayo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Katibu wa Kamati ya Maridhiano Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, ilieleza kuwa mawakili hao, Fatma...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mahakama: Mansour ana haki ya dhamana

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid

Na Is-haka Omar, Zanzibar

MAHAKAMA Kuu ya Zanzibar, imesema haina pingamizi na ombi la dhamana kwa aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembesamaki, Mansour Himid Yussuf.

Imesema kutokana na ombi hilo, mahakama imebaini kuwa limezingatia vigezo vyote vya kisheria.

Ombi hilo la dhamana liliamuliwa jana  baada ya mawakili wa upande wa utetezi na Serikali kuvutana kisheria mahakamani hapo.

Baada ya mabishano hayo ya kisheria, anayesikiliza ombi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mansour aachiwa kwa dhamana Z’bar

Mahakama Kuu ya Zanzibar imemwachia kwa dhamana waziri wa zamani wa SMZ, Mansour Yusuph Himid ikisema hakuna kosa lisilokuwa na dhamana Zanzibar kwa mujibu wa sheria kwa kuwa si hatari kumiliki silaha, bali matumizi yake ndiyo hatari.

 

10 years ago

KwanzaJamii

HATIMAYE MANSOUR HIMID AACHILIWA KWA DHAMANA

Zanzibar. Mahakama Kuu ya Zanzibar imemwachia kwa dhamana waziri wa zamani wa SMZ, Mansour Yusuph Himid ikisema hakuna kosa lisilokuwa na dhamana Zanzibar kwa mujibu wa sheria kwa kuwa si hatari kumiliki silaha, bali matumizi yake ndiyo hatari. Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar, Abraham Mwampashi katika ombi la dhamana lililofunguliwa kwa hati ya dharura, baada ya Mahakama ya Mkoa chini ya Hakimu Khamis Abdallah Shaban kumnyima dhamana ikisema kosa la...

 

10 years ago

Mwananchi

Chamamata wawasilisha maoni ya Rasimu

Siku moja kabla ya kufunga vikao vya kujadili mapendekezo ya Rasimu inayopendekezwa ndani ya Bunge la Katiba, Chama Cha Madereva wa Malori Tanzania (Chamamata) kimewasilisha maoni yake kwa Mwenyekiti wa Bunge hilo ili yaingizwe kwenye rasimu hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wawasilisha katiba TFF

BAADA ya wanachama wa Yanga kupitisha mabadiliko kwenye katiba yao Juni Mosi, uongozi wao umeyawasilisha rasmi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jana ili iweze kupitiwa na kwenda kwa msajili. Katika...

 

11 years ago

Habarileo

Marekani wawasilisha majina Bunge la Katiba

KUNDI la Watanzania waishio Marekani (DICOTA) wamewasilisha majina tisa Ikulu ya Dar es Salaam kwa ajili ya Rais Jakaya Kikwete na Rais Ali Mohamed Shein kuteua wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

CUF wawasilisha taarifa za hesabu kwa CAG

BARAZA Kuu la Chama cha Wananchi CUF, limesema chama hicho kimeandaa na kuwasilisha taarifa za fedha za chama hicho na kuziwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serika (CAG).

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau wawasilisha maombi kuzuia miswada ya habari

Wakati miswada miwili ya habari ya mwaka 2015 ikitarajiwa kuwasilishwa bungeni wiki ijayo chini ya hati ya dharura, wadau wa habari wamewasilisha ombi maalumu kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda wakimuomba atumie hekima zake kuishauri Serikali kuiwasilisha katika mfumo wa kawaida.

 

11 years ago

Michuzi

WATAFITI WAWASILISHA RIPOTI ZA TAFITI ZAO MKUTANO WA NIMR

 Mtafiti wa Magonjwa ya Binadamu kutoka Taasisi ya Utafiti ya  Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR), Dk. Kijakazi Mashoto akiasilisha utafiti wake juu ya Ugonjwa wa Kipindupindu alioufanya Mkoa wa Pwani katika Wilaya ya Kisarawe.
NIMR wameingia katika siku ya pili ya mkutano wao wa 28 wa Mwaka pamoja na Kongamano la Wanasayansi Watafiti linaloendelea jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.  Baadhi ya Wanasayansi Watafiti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani