Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chamamata wawasilisha maoni ya Rasimu

Siku moja kabla ya kufunga vikao vya kujadili mapendekezo ya Rasimu inayopendekezwa ndani ya Bunge la Katiba, Chama Cha Madereva wa Malori Tanzania (Chamamata) kimewasilisha maoni yake kwa Mwenyekiti wa Bunge hilo ili yaingizwe kwenye rasimu hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UMOJA WA MACHIFU TANZANIA (UMT) WAWASILISHA MAPENDEKEZO YAO KUHUSIANA NA RASIMU YA KATIBA MPYA

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu akiwaeleza jambo Wawakilishi wa Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) kuhusu mapendekezo yao waliyoyawasilisha kwake kwaajili ya Katiba Mpya. Chifu John Nyanza (aliyekaa katikati) wa kutoka Magu akimueleza jambo Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu (kulia) juu ya uwasilishaji wa mapendekezo yao kwa ajili ya Katiba Mpya alipokutana naye kwenye...

 

11 years ago

GPL

SLAA: ASILIMIA 72 YA MAONI TULIYOKUSANYA YAMO KWENYE RASIMU YA PILI YA KATIBA

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Wilbrod Slaa amesema asilimia 72 ya maoni yalikusanywa toka kwa wananchi na CHADEMA yamo kwenye rasimu ya pili ya Katiba. Slaa aliyasema hayo mjini Songea akiwa katika Operesheni M4C Pamoja Daima.

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA SHUGHULI ZA UZALISHAJI NA UTAFUTAJI GESI,MAFUTA WATOA MAONI RASIMU YA SERA YA PETROLI

 Mmoja wa wadau wa shughuli za utafutaji na uzalishaji gesi akitoa maoni yake kuhusu namna ya kuboresha rasimu ya Sera ya Petroli. Wanaofuatia ni baadhi ya wadau kutoka  Kampuni mbalimbali zinazofanya shughuli hizo nchini.

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (katikati) akifuatilia kwa karibu wadau wakitoa  maoni wakati wa warsha ya  wadau wanaoshughulika na   shughuli za utafutaji na uzalishaji gesi na mafuta ili kupata maoni yao  yatakayosaidia...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati mbalimbai zawasilisha maoni yao uchambuzi wa sura ya kwanza na sita ya Rasimu ya Katiba Mpya

2a

Mwenyekiti wa Kamati namba mbili (2) Shamsi Vuai Nahodha akiwasilisha maoni ya wajumbe wa Kamati yake leo mjini Dodoma juu ya uchambuzi wa sura ya kwanza na sita ya wa rasimu ya Katiba mpya.

7b

Makamu  Mwenyekiti wa Kamati namba tano Assumpter Mshama akiwasilisha maoni ya wajumbe wa Kamati yake leo mjini Dodoma juu ya uchambuzi wa sura ya kwanza na sita ya wa rasimu ya Katiba mpya.

6

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Bunge hilo leo mjini Dodoma...

 

10 years ago

Michuzi

kongamano la kupata maoni ya wadau kuhusu rasimu ya sera ya Petroli lafunguliwa leo jijini Dar

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akifungua kongamano la siku moja la kupata maoni ya wadau kuhusu rasimu ya sera ya Petroli linalofanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo limejumuisha wadau wa mafuta na gesi, wabunge, viongozi wa dini na mikoa iliyofanyiwa utafiti wa mafuta na gesi na vyama vya siasa. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro (hayupo pichani) wakati akifungua kongamano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chamamata yawasaka UKAWA

WANACHAMA wa Chama cha Madereva wa Magari Makubwa Tanzania (Chamamata), wanatarajia  kuandaa muswada utakaotetea haki zao kwa ajili ya  kuukabidhi kwa wabunge wa upinzani ili wakawasemee bungeni. Wamedai uamuzi huo unatokana na...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA WADAU WA KUPOKEA MAONI JUU YA SERA YA TAIFA YA MAGEREZA WAMALIZIKA WILAYANI BAGAMOYO, KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APONGEZWA KWA KUFANIKISHA RASIMU HIYO

  Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw.  Mbarak Abdulawakil akitoa hotuba ya Ufungaji wa Mkutano wa Wadau uliohusu upokeaji wa maoni ya Sera ya Taifa ya Magereza. Mkutano huo wa siku mbili umefanyikia katika Hoteli ya Livingstone Bagamoyo ambapo wadau wamepitia rasimu hiyo na kutoa maoni kikamilifu Novemba 05, 2014. Wadau wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufungaji wa Mkutano wa Wadau uliohusu upokeaji wa maoni ya Sera ya Taifa ya Magereza Novemba 05, 2014 katika Hoteli ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wawasilisha katiba TFF

BAADA ya wanachama wa Yanga kupitisha mabadiliko kwenye katiba yao Juni Mosi, uongozi wao umeyawasilisha rasmi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jana ili iweze kupitiwa na kwenda kwa msajili. Katika...

 

11 years ago

Habarileo

Marekani wawasilisha majina Bunge la Katiba

KUNDI la Watanzania waishio Marekani (DICOTA) wamewasilisha majina tisa Ikulu ya Dar es Salaam kwa ajili ya Rais Jakaya Kikwete na Rais Ali Mohamed Shein kuteua wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani