Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SLAA: ASILIMIA 72 YA MAONI TULIYOKUSANYA YAMO KWENYE RASIMU YA PILI YA KATIBA

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Wilbrod Slaa amesema asilimia 72 ya maoni yalikusanywa toka kwa wananchi na CHADEMA yamo kwenye rasimu ya pili ya Katiba. Slaa aliyasema hayo mjini Songea akiwa katika Operesheni M4C Pamoja Daima.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Rasimu ya pili ya Katiba Mpya yakamilika

Hatimaye Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Mwenyekiti wake, Jaji Joseph Warioba imekamilisha kazi ya kuboresha rasimu ya kwanza na kupata rasimu ya pili ya Katiba Mpya tayari kwa hatua nyingine.

 

11 years ago

Mwananchi

Rasimu ya Pili ya Katiba hakuna cha kujadili

Juzi Rais Jakaya Kikwete alitoa maoni yake kuhusu muundo wa Muungano anaoutaka. Alifanya hivyo wakati alipokuwa akizindua Bunge Maalumu la Mabadiliko ya Katiba mjini Dodoma.

 

11 years ago

Mwananchi

Tume ya Katiba kukabidhi rasimu ya pili Desemba 30

Tume ya Mabadiliko ya Katiba itakabidhi rasimu ya pili ya Katiba kwa Rais Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein, Desemba 30, mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rasimu ya Pili ya Katiba imewafikia watu wasioona?

KATIKA kuhakikisha elimu ya Katiba Mpya  inawafikia wananchi wengi, serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria ilipaswa kuandaa Rasimu ya Pili kwa maandishi ya nukta nundu kwa ajili ya watu...

 

11 years ago

Mwananchi

Rasimu ya pili ya Katiba ilivyozima dua ya CCM

Baada ya kutoka Rasimu ya kwanza ya Katiba mnamo Juni 3, 2013, pamoja na mambo mengine, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama mojawapo ya Mabaraza ya Katiba kilikosoa muundo wa Jamhuri ya Muungano hasa kwa kuwa rasimu hiyo ilipendekeza uwepo wa Serikali tatu.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE, DK SHEIN WAKABIDHIWA RASIMU YA PILI YA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete (kulia) Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya leo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani