Tume ya Katiba kukabidhi rasimu ya pili Desemba 30
Tume ya Mabadiliko ya Katiba itakabidhi rasimu ya pili ya Katiba kwa Rais Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein, Desemba 30, mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo20 Dec
Rasimu ya II ya Katiba Desemba 30
RAIS Jakaya Kikwete, Desemba 30 atakabidhiwa Rasimu ya Katiba mpya, baada ya kufanyiwa marekebisho na Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-IU7PpvYZ-W4/VDPVUnwxnoI/AAAAAAAGoe8/-7UNVchPrFA/s72-c/unnamed%2B(79).jpg)
JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LAIMARISHA ULINZI KATIKA TUKIO KUKABIDHI RASIMU YA KATIBA KWA MH. RAIS
![](http://2.bp.blogspot.com/-IU7PpvYZ-W4/VDPVUnwxnoI/AAAAAAAGoe8/-7UNVchPrFA/s1600/unnamed%2B(79).jpg)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi DAVID MISIME - SACP ameeleza kuwa kutokana na tukio la kihistoria ambalo litafanyika tarehe 08/10/2014 ambapo Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE na Mh. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dr. ALLY MOHAMED SHEIN watakabidhiwa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, ulinzi umeimarishwa katika maeneo yote ya Mkoa wa Dodoma hususani Dodoma Mjini.
Kamanda...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Rasimu ya pili ya Katiba Mpya yakamilika
Hatimaye Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Mwenyekiti wake, Jaji Joseph Warioba imekamilisha kazi ya kuboresha rasimu ya kwanza na kupata rasimu ya pili ya Katiba Mpya tayari kwa hatua nyingine.
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Rasimu ya pili ya Katiba ilivyozima dua ya CCM
Baada ya kutoka Rasimu ya kwanza ya Katiba mnamo Juni 3, 2013, pamoja na mambo mengine, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama mojawapo ya Mabaraza ya Katiba kilikosoa muundo wa Jamhuri ya Muungano hasa kwa kuwa rasimu hiyo ilipendekeza uwepo wa Serikali tatu.
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Rasimu ya Pili ya Katiba hakuna cha kujadili
Juzi Rais Jakaya Kikwete alitoa maoni yake kuhusu muundo wa Muungano anaoutaka. Alifanya hivyo wakati alipokuwa akizindua Bunge Maalumu la Mabadiliko ya Katiba mjini Dodoma.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania