Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga wawasilisha katiba TFF

BAADA ya wanachama wa Yanga kupitisha mabadiliko kwenye katiba yao Juni Mosi, uongozi wao umeyawasilisha rasmi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jana ili iweze kupitiwa na kwenda kwa msajili. Katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

TFF yaitupa jalalani Katiba Yanga

>Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeitupa Katiba ya Yanga iliyopelekwa kwa shirikisho hilo kwa ajili ya kupitiwa kabla ya kusajiliwa na kutoa nafasi kwa klabu hiyo kufanya uchaguzi mkuu Juni.

 

11 years ago

Habarileo

Marekani wawasilisha majina Bunge la Katiba

KUNDI la Watanzania waishio Marekani (DICOTA) wamewasilisha majina tisa Ikulu ya Dar es Salaam kwa ajili ya Rais Jakaya Kikwete na Rais Ali Mohamed Shein kuteua wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

GPL

UMOJA WA MACHIFU TANZANIA (UMT) WAWASILISHA MAPENDEKEZO YAO KUHUSIANA NA RASIMU YA KATIBA MPYA

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu akiwaeleza jambo Wawakilishi wa Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) kuhusu mapendekezo yao waliyoyawasilisha kwake kwaajili ya Katiba Mpya. Chifu John Nyanza (aliyekaa katikati) wa kutoka Magu akimueleza jambo Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu (kulia) juu ya uwasilishaji wa mapendekezo yao kwa ajili ya Katiba Mpya alipokutana naye kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YAIKOMALIA TFF

Yanga yaikomalia TFF
KLABU ya Yanga bado imeendelea kulikalia kooni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF juu ya mabadiliko ya kanuni ya 37 ibara ya 3
KLABU ya Yanga bado imeendelea kulikalia kooni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF juu ya mabadiliko ya kanuni ya 37 ibara ya 3 ambayo imerekebishwa Februari 8 2015 ikimruhusu mchezaji kuchagua mechi za kucheza ikiwa anatumikia kadi tatu za njano mfululizo .Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Yanga Jerry Muro ameiambia Goal kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yaishangaa Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeshangazwa na madai ya klabu ya Yanga kwamba mpaka sasa haijapata mwaliko rasmi wa kushiriki Michuano ya Kagame na limeionya iache kutafuta visingizio.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yaivimbia Yanga

 Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji kulipa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) siku saba kumaliza suala la mshambuliaji wao Emmanuel Okwi aliyejiunga Simba, Shirikisho hilo limesema Yanga wasiwaamrishe kwani wanafanya kazi kwa mujibu wa katiba na kanuni zao.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yaigwaya Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limebariki mwenyekiti ya Yanga, Yusuf Manji kuongezewa muda baada ya kushindwa kulifikisha suala la katiba ya klabu hiyo kwa Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yaiweka Yanga mtegoni

Yanga ipo kwenye hatari  ya kuondolewa  kwenye Ligi Kuu iwapo uongozi  wake utashindwa kuwasilisha muhtasari wa kikao cha  mabadiliko ya katiba ya klabu hiyo ndani ya siku saba.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yaikalia kooni Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)limesema kuwa litaichukulia hatua za kinidhamu Yanga iwapo itabainika kuwa ilivunja kanuni za Ligi Kuu katika michezo yake miwili iliyopita dhidi ya Simba na Stand United.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani