TFF yaikalia kooni Yanga
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)limesema kuwa litaichukulia hatua za kinidhamu Yanga iwapo itabainika kuwa ilivunja kanuni za Ligi Kuu katika michezo yake miwili iliyopita dhidi ya Simba na Stand United.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Nov
PAC yaikalia kooni Mamlaka ya Bandari
>Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imepokea ripoti ya ukaguzi maalumu uliofanywa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu Sh26 bilioni zinazotia shaka, ambazo ni matumizi yaliyofanywa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Kamati ya Bunge yaikalia kooni Tanapa
Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) limetakiwa kutekeleza agizo la Serikali la kusimamia Msitu wa Asili wa Mlima Meru ili kuboresha uoto wa asili, badala ya msitu huo kuendelea kuwa chini ya Wakala Msitu Tanzania (TFS).
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
TFF yazidi kukaliwa kooni
KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imezidi kushushiwa lawama na wanachama wa Simba kwa walichokiita ‘kumkumbatia’ Mwenyekiti wao, Ismail Aden Rage ‘Tutu Vengere’....
10 years ago
Mwananchi17 Sep
TFF yaigwaya Yanga
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limebariki mwenyekiti ya Yanga, Yusuf Manji kuongezewa muda baada ya kushindwa kulifikisha suala la katiba ya klabu hiyo kwa Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji.
10 years ago
Vijimambo29 Mar
YANGA YAIKOMALIA TFF
Yanga yaikomalia TFF
KLABU ya Yanga bado imeendelea kulikalia kooni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF juu ya mabadiliko ya kanuni ya 37 ibara ya 3
KLABU ya Yanga bado imeendelea kulikalia kooni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF juu ya mabadiliko ya kanuni ya 37 ibara ya 3 ambayo imerekebishwa Februari 8 2015 ikimruhusu mchezaji kuchagua mechi za kucheza ikiwa anatumikia kadi tatu za njano mfululizo .Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Yanga Jerry Muro ameiambia Goal kuwa...

Mwananchi31 Aug
TFF yaivimbia Yanga
 Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji kulipa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) siku saba kumaliza suala la mshambuliaji wao Emmanuel Okwi aliyejiunga Simba, Shirikisho hilo limesema Yanga wasiwaamrishe kwani wanafanya kazi kwa mujibu wa katiba na kanuni zao.
11 years ago
Mwananchi27 Jul
TFF yaishangaa Yanga
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeshangazwa na madai ya klabu ya Yanga kwamba mpaka sasa haijapata mwaliko rasmi wa kushiriki Michuano ya Kagame na limeionya iache kutafuta visingizio.
10 years ago
Vijimambo23 Jan
TFF yatekeleza maagizo ya Yanga
Yamfungia refa aliyeachia Tambwe akabwe kooWachezaji wa Ruvu Shooting na Yanga wakigombana wakati wa mchezo uliozikutanisha timu hizo mwishoni mwa wiki.
Katika kile kinachoonekana kama kuendeshwa na Yanga, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemfungia refa Mohamed Teofile kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu.
Jana mchana NIPASHE ilipata taarifa kutoka ndani ya TFF zikieleza kuwa refa huyo ameondolewa katika ratiba ya waamuzi wa msimu huu, taarifa ambazo baadaye...

Mwananchi12 May
Yanga yaitishia nyau TFF
Yanga imetingisha kiberiti kwa kujaribu kuwazuia wachezaji wake waliochaguliwa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania