Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF yaigwaya Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limebariki mwenyekiti ya Yanga, Yusuf Manji kuongezewa muda baada ya kushindwa kulifikisha suala la katiba ya klabu hiyo kwa Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TFF yaivimbia Yanga

 Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji kulipa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) siku saba kumaliza suala la mshambuliaji wao Emmanuel Okwi aliyejiunga Simba, Shirikisho hilo limesema Yanga wasiwaamrishe kwani wanafanya kazi kwa mujibu wa katiba na kanuni zao.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yaishangaa Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeshangazwa na madai ya klabu ya Yanga kwamba mpaka sasa haijapata mwaliko rasmi wa kushiriki Michuano ya Kagame na limeionya iache kutafuta visingizio.

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YAIKOMALIA TFF

Yanga yaikomalia TFF
KLABU ya Yanga bado imeendelea kulikalia kooni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF juu ya mabadiliko ya kanuni ya 37 ibara ya 3
KLABU ya Yanga bado imeendelea kulikalia kooni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF juu ya mabadiliko ya kanuni ya 37 ibara ya 3 ambayo imerekebishwa Februari 8 2015 ikimruhusu mchezaji kuchagua mechi za kucheza ikiwa anatumikia kadi tatu za njano mfululizo .Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Yanga Jerry Muro ameiambia Goal kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yakana madai ya TFF

Mkurugenzi wa Fedha wa Yanga, Dennis Oundo amesema alichukua fedha Sh15 milioni kwa mawakala wa kuuza tiketi wakati wa mechi dhidi ya Simba kwa utaratibu na wala hakupora kama inavyodaiwa na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wawasilisha katiba TFF

BAADA ya wanachama wa Yanga kupitisha mabadiliko kwenye katiba yao Juni Mosi, uongozi wao umeyawasilisha rasmi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jana ili iweze kupitiwa na kwenda kwa msajili. Katika...

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yaikalia kooni Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)limesema kuwa litaichukulia hatua za kinidhamu Yanga iwapo itabainika kuwa ilivunja kanuni za Ligi Kuu katika michezo yake miwili iliyopita dhidi ya Simba na Stand United.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yaitishia nyau TFF

Yanga imetingisha kiberiti kwa kujaribu kuwazuia wachezaji wake waliochaguliwa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yazitega Yanga, Simba

Ukimya wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kuhusu idadi ya wachezaji wa kigeni umenazidi kuziwaweka mtegoni klabu za Yanga na , Simba.

 

10 years ago

GPL

Yanga yaipa masharti 5 TFF

Wachezaji wa Yanga. Nicodemus Jonas,
Dar es SalaamKAMA ulidhani walikuwa wanatania, ndiyo ufahamu kuwa jamaa walikuwa ‘serious’! Siku chache baada ya uongozi wa Yanga kuhoji kuhusu kanuni iliyompitisha straika wa Simba, Ibrahim Ajibu kucheza kwenye mchezo wa Prisons wakati akiwa ana kadi tatu za njano, uongozi huo umekwenda mbali na kuilima Shirikisho la Soka nchini (TFF) barua ya masharti matano kuhusu maamuzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani