Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATAFITI WAWASILISHA RIPOTI ZA TAFITI ZAO MKUTANO WA NIMR

 Mtafiti wa Magonjwa ya Binadamu kutoka Taasisi ya Utafiti ya  Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR), Dk. Kijakazi Mashoto akiasilisha utafiti wake juu ya Ugonjwa wa Kipindupindu alioufanya Mkoa wa Pwani katika Wilaya ya Kisarawe.
NIMR wameingia katika siku ya pili ya mkutano wao wa 28 wa Mwaka pamoja na Kongamano la Wanasayansi Watafiti linaloendelea jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.  Baadhi ya Wanasayansi Watafiti...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA 28 NIMR NA KONGAMANO LA WANASAYANSI WATAFITI LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionesha vitabu  vya Mpango wa Mkakati wa Nne wa Utafiti Bora wa Afya alivyovizindua leo. Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akimkabidhi tuzo ya Mwanasayansi Bora wa mwaka kitaifa wa masuala ya afya, kwa Dk. Steven Magesa (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi ulioanza jana Dar es Salaam. Katikati...

 

10 years ago

Vijimambo

NIMR Yazinduwa Ripoti Kuyakabili Magonjwa ya TB, Maleria na Tropiko

Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius Massaga wakizinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD). Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius Massaga wakizinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD)Mwanasayansi, mtafiti na mshauri wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Olumide Ogundahunsi ambaye alishiriki kufanikisha kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD). Kulia ni Ofisa Mwakilishi wa Shirika la UNDP na Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Bwijo Bwijo. Mwanasayansi, mtafiti na mshauri wa Shirika la Afya Duniani...

 

10 years ago

Dewji Blog

NIMR yazindua ripoti kuyakabili magonjwa ya TB, Malaria na Tropiko

Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius Massaga wakizinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD).

Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius Massaga wakizinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD).

Mwanasayansi, mtafiti na mshauri wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Olumide Ogundahunsi ambaye alishiriki kufanikisha kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD). Kulia ni Ofisa Mwakilishi wa Shirika la UNDP na Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Bwijo Bwijo.

Mwanasayansi, mtafiti na mshauri wa Shirika la Afya Duniani...

 

9 years ago

Mwananchi

Watafiti wanavyolipigania zao la mhogo

Wakati wa jioni kwenye barabara nyingi jijini Dar es Salaam kina dada wengi huonekana wakiuza vipande vya mihogo mibichi kwa watu wanaokuwa kwenye foleni za magari.

 

9 years ago

StarTV

Wataalamu wa afya wahimizwa kutumia taaluma zao kwakufanya tafiti

Wataalamu wa Sekta ya afya nchini wanapaswa kutumia taaluma yao kutafiti na kugundua visababishi vya magonjwa mbalimbali yanayoathiri jamii hali itakayosaidia Serikali kukabiliana na magonjwa husika.

Tafiti zinaonyesha kuwa magonjwa mengi yamekuwa yakiikumba jamii kutokana na kukosekana kwa watalaamu wa kubaini visababishi vya maradhi hayo.

Mkuu wa chuo kikuu kishiriki cha Sayansi ya tiba cha  KCMU College kilichopo mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro  Prof.Elgibert Kessy anaona ipo haja kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya afya na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi wazindua rasmi Ripoti ya tafiti ya hali ya Maambukizi ya VVU nchini

 Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali,Dkt. Mohamed Ally Mohamed (katikati) akizindua rasmi Ripoti ya tafiti ya hali ya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kwa Watu wa makundi maalum wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa kuitambulisha Ripoti hiyo,uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Protea Courtyard,jijini Dar es salaam.Wengine pichani ni kutoka kulia ni Mraribu Idadi ya Watu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Makyao,Meneja Msaidizi wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NACP),Dkt....

 

10 years ago

Dewji Blog

NIMR Mwanza wafanya mkutano wa wadau kuhusiana na madhara ya Pombe kwa vijana

tafiti

 

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Taasisi ya  Taifa ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR)  tawi la Mwanza mapema  Machi 25 mwaka huu imeendesha warsha ya wadau mbalimbali kuhusiana na Madhara ya Pombe kwa vijana kufuatia utafiti uliofanywa katika maeneo kadhaa ya Tanzania, ikiwemo Mkoa wa Kilimanjaro.

Warsha hiyo iliwakutanisha wadau mbalimbali wakiwemo Madaktari,  wakuu wa idara za Polisi barabarani, wakuu wa Taasisi za Afya na mashirika ya kupiga vita matumizi ya vileo na...

 

9 years ago

Dewji Blog

RIPOTI MAALUM:Mabadiliko ya Tabianchi yalivyoathiri zao la mpunga Mkoani Morogoro kwa virusi vya Ugonjwa wa Kimyangu

Mwandishi wa makala hii Andrew Chale akishuhudia mpunga huoMwandishi wa Makala haya, Andrew Chale, ambaye pia ni Mhariri wa mtandao (blog) ya modewjiblog.com, akiwa katika moja ya shamba la Mpunga  la Mkulima Bwana Nguji, Kijiji cha Mtimbira, Wilayani Ulaanga  Mkoa wa Morogoro -Tanzania hivi karibuni. ( Picha na modewjiblog).

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[Morogoro, Tanzania] Zikiwa zimebaki siku zaidi ya 90, kuelekea mkutano mkuu wa 21 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Mabadiriko ya Nchi (COP21) unaotarajiwa kufanyika Paris , Ufaransa, Desemba mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani