NIMR yazindua ripoti kuyakabili magonjwa ya TB, Malaria na Tropiko
Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius Massaga wakizinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD).
Mwanasayansi, mtafiti na mshauri wa Shirika la Afya Duniani...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Jul
NIMR Yazinduwa Ripoti Kuyakabili Magonjwa ya TB, Maleria na Tropiko
9 years ago
Habarileo14 Oct
Kikwete ataka NIMR itafiti magonjwa yasiyoambukiza
RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kujikita zaidi kutafiti magonjwa yasiyoambukiza kwa sababu watu wengi wanaugua magonjwa hayo kwa sasa.
11 years ago
MichuziWATAFITI WAWASILISHA RIPOTI ZA TAFITI ZAO MKUTANO WA NIMR
NIMR wameingia katika siku ya pili ya mkutano wao wa 28 wa Mwaka pamoja na Kongamano la Wanasayansi Watafiti linaloendelea jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam. Baadhi ya Wanasayansi Watafiti...
5 years ago
MichuziDawa ya Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) yatoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa corona
DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF (pichani), inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona.
Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa...
10 years ago
MichuziBALOZI KALLAGHE ASHIRIKI UZINDUZI WA RIPOTI KUHUSU MALARIA DUNIANI
Katika hafla hiyo, Tanzania ilitajwa kama mfano wa nchi inayoendelea kupata mafanikio barani Afrika katika kupambana na ugonjwa wa Malaria hasa kwa upande wa Zanzibar.
Tanzania ilipongezwa kwa mchango wa kisiasa wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika kuhakikisha agenda...
11 years ago
Michuzi06 Mar
Serikali, UNDP, PATH wakubaliana njia bora ya kukabiliana na TB, Malaria na magonjwa kwenye nchi za joto
11 years ago
GPLSERIKALI, UNDP, PATH WAKUBALIANA NJIA BORA YA KUKABILIANA NA TB, MALARIA NA MAGONJWA KWENYE NCHI ZA JOTO
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
UN yazindua ripoti ya dawa za kulevya duniani
Afisa habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Stella Vuzo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi wa ripoti ya Kupambana na dawa za kulevya ya Umoja wa Mataifa. Kulia ni mgeni rasmi Mchambuzi Mkuu wa Mifumo ya Kompyuta wa Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi (DCC), January Ntisi na kushoto ni Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma Ledama.
Na Andrew Chale wa Modewji blog.
Uongozi wa Kituo cha Habari...