Kikwete ataka NIMR itafiti magonjwa yasiyoambukiza
RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kujikita zaidi kutafiti magonjwa yasiyoambukiza kwa sababu watu wengi wanaugua magonjwa hayo kwa sasa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog27 Jun
Wanahabari wapewa semina kuhusu magonjwa yasiyoambukiza
Kaimu Mkurugenzi Magonjwa Yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kwenye semina ya siku moja kuhusu magonjwa yasiyoambukiza. Kulia ni Meneja Mradi Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza (TANCDA).
Kaimu Mkurugenzi Magonjwa yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kulia), akimuelekeza jambo Ofisa Habari wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,...
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Gharama kubwa kutibu magonjwa yasiyoambukiza ni tiketi ya kifo
10 years ago
GPLWANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA
10 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATOA ELIMU YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA WAANDISHI WA HABARI
10 years ago
Dewji Blog11 Jul
NIMR yazindua ripoti kuyakabili magonjwa ya TB, Malaria na Tropiko
![Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius Massaga wakizinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD).](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0040.jpg)
Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius Massaga wakizinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD).
![Mwanasayansi, mtafiti na mshauri wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Olumide Ogundahunsi ambaye alishiriki kufanikisha kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD). Kulia ni Ofisa Mwakilishi wa Shirika la UNDP na Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Bwijo Bwijo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0059.jpg)
Mwanasayansi, mtafiti na mshauri wa Shirika la Afya Duniani...
10 years ago
Vijimambo10 Jul
NIMR Yazinduwa Ripoti Kuyakabili Magonjwa ya TB, Maleria na Tropiko
![Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius Massaga wakizinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD).](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0040.jpg)
![Mwanasayansi, mtafiti na mshauri wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Olumide Ogundahunsi ambaye alishiriki kufanikisha kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD). Kulia ni Ofisa Mwakilishi wa Shirika la UNDP na Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Bwijo Bwijo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0059.jpg)
10 years ago
Michuzi01 Jul
WAZIRI MKUU AHIMIZA WANANCHI KUEPUKANA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA KUPIMA AFYA ZAO NA KUZINGATIA MTINDO BORA WA MAISHA
![1nh](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/1nh.jpg)
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na umati wa watu waliokisanyika katika banda la NHIF juu ya umuhimu wa watu kupima afya zao mara kwa mara na kuzingatia kanuni bora za maisha ili kuepuka maginjwa yasiyoambikiza ambayo mengi husababishwa na unene uliokithiri.
![2nh](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/2nh.jpg)
![nh3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/nh3.jpg)