NIMR Yazinduwa Ripoti Kuyakabili Magonjwa ya TB, Maleria na Tropiko
Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius Massaga wakizinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD)
Mwanasayansi, mtafiti na mshauri wa Shirika la Afya Duniani...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Jul
NIMR yazindua ripoti kuyakabili magonjwa ya TB, Malaria na Tropiko
![Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius Massaga wakizinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD).](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0040.jpg)
Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius Massaga wakizinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD).
![Mwanasayansi, mtafiti na mshauri wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Olumide Ogundahunsi ambaye alishiriki kufanikisha kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD). Kulia ni Ofisa Mwakilishi wa Shirika la UNDP na Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Bwijo Bwijo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0059.jpg)
Mwanasayansi, mtafiti na mshauri wa Shirika la Afya Duniani...
9 years ago
Habarileo14 Oct
Kikwete ataka NIMR itafiti magonjwa yasiyoambukiza
RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kujikita zaidi kutafiti magonjwa yasiyoambukiza kwa sababu watu wengi wanaugua magonjwa hayo kwa sasa.
11 years ago
MichuziWATAFITI WAWASILISHA RIPOTI ZA TAFITI ZAO MKUTANO WA NIMR
NIMR wameingia katika siku ya pili ya mkutano wao wa 28 wa Mwaka pamoja na Kongamano la Wanasayansi Watafiti linaloendelea jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qtMEq3KMi9s/XrbJYe8s7jI/AAAAAAALplI/oQb_jMr3Ba0VT7wWBsoI7aQWszuv99S_gCLcBGAsYHQ/s72-c/PHOTO-2020-05-09-15-48-32.jpg)
Dawa ya Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) yatoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-qtMEq3KMi9s/XrbJYe8s7jI/AAAAAAALplI/oQb_jMr3Ba0VT7wWBsoI7aQWszuv99S_gCLcBGAsYHQ/s640/PHOTO-2020-05-09-15-48-32.jpg)
DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF (pichani), inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona.
Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa...
10 years ago
Vijimambo04 Nov
JENGA TANZANIA FOUNDATION YAWALETEA KIPIMO CHA MALERIA PAPO KWA HAPO
Kipimo hicho chenye uwezo wa kugundua vijidudu vya...
10 years ago
MichuziKampuni ya Simu Tanzania TTCL Yazinduwa Dili la Ukweli
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam juu ya huduma hiyo, Meneja Huduma za Intaneti wa TTCL, Abdul Mombokaleo amesema kampuni ya Simu Tanzania imeamua kuzindua promosheni mpya ya “DILI LA UKWELI” inayotoa fursa ya mteja wa...
10 years ago
Dewji Blog21 Aug
Ruvuma yazinduwa kampeni ya Bwela Kuni na wimbo maalum
![Mratibu wa kampeni ya Bwela Kuni, Raymund Mhenga (wa kwanza kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam kuzungumzia Kampeni ya Bwela Kuni zinazotarajia kunadi fursa anuai zilizopo katika mkoa wa Ruvuma.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0078.jpg)
Mratibu wa kampeni ya Bwela Kuni, Raymund Mhenga (wa kwanza kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam kuzungumzia Kampeni ya Bwela Kuni zinazotarajia kunadi fursa anuai zilizopo katika mkoa wa Ruvuma.
Mhamasishaji wa Utalii na Maliasili katika Kampeni ya Bwela Kuni, Bakari Likapo (wa pili kulia) akizungumza katika mkutano na wanahabari.
![Produza C9 (katikati) akizungumza na wanahabari kuzungumzia Kampeni ya Bwela Kuni na Wimbo Maalum aliouandaa kuzungumzia Mkoa wa Ruvuma.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0118.jpg)
Produza C9 (katikati) akizungumza na wanahabari kuzungumzia Kampeni ya Bwela Kuni na Wimbo Maalum aliouandaa kuzungumzia Mkoa wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j-DiiE-nbb*dIkkrLrmvYGHZH0QlcJfp82LfvYpqvtpxUCofcdl5zIqojnlAgZvXD5Ub5oZexHjG-kY8wqKxKKDGk4LRqBF3/10402702_10154762743885198_8319490069424666291_n.jpg)
MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME NA JINSI YA KUYAKABILI