Ruvuma yazinduwa kampeni ya Bwela Kuni na wimbo maalum
Mratibu wa kampeni ya Bwela Kuni, Raymund Mhenga (wa kwanza kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam kuzungumzia Kampeni ya Bwela Kuni zinazotarajia kunadi fursa anuai zilizopo katika mkoa wa Ruvuma.
Mhamasishaji wa Utalii na Maliasili katika Kampeni ya Bwela Kuni, Bakari Likapo (wa pili kulia) akizungumza katika mkutano na wanahabari.
![Produza C9 (katikati) akizungumza na wanahabari kuzungumzia Kampeni ya Bwela Kuni na Wimbo Maalum aliouandaa kuzungumzia Mkoa wa Ruvuma.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0118.jpg)
Produza C9 (katikati) akizungumza na wanahabari kuzungumzia Kampeni ya Bwela Kuni na Wimbo Maalum aliouandaa kuzungumzia Mkoa wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vJQxEQ7J3KQ/VeaRriIb5NI/AAAAAAAAA0c/pGG9ZnvFN8s/s72-c/OTH_4290.jpg)
MKUTANO WA KAMPENI WA LOWASSA MKOANI RUVUMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-vJQxEQ7J3KQ/VeaRriIb5NI/AAAAAAAAA0c/pGG9ZnvFN8s/s640/OTH_4290.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-gLOctDXV9X0/VeaRvzSZpvI/AAAAAAAAA0k/i0dSGyEhOi8/s640/OTH_4312.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-VehcIn7_hNQ/VeaR5aRxiTI/AAAAAAAAA1M/7_SrQ3ZjGXA/s640/OTH_4353.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-XBSHdinL5nQ/VeaR84cAU2I/AAAAAAAAA1c/YXmQmyEm4FM/s640/OTH_4355.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-B3tEWMWyARg/Vdsz4j9nwDI/AAAAAAAC98Q/4zZ0n216u0s/s72-c/_MG_5839.jpg)
MGOMBEA URAIS DR MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA KAMPENI RUVUMA KUANZIA AUGUST 30
![](http://3.bp.blogspot.com/-B3tEWMWyARg/Vdsz4j9nwDI/AAAAAAAC98Q/4zZ0n216u0s/s640/_MG_5839.jpg)
MGOMBEA Urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Dr. John Magufuli anatarajiwa kupokelewa na mamia ya wananchi wakiwemo wanachama wa chama cha mapinduzi katika kijiji cha Igawisenga wilayani Songea mkoa wa Ruvuma akitokea mkoa wa Njombe tayari kuanza kampeni mkoani humo.Akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye ofisi za chama cha mapinduuzi mkoani Ruvuma Mwenyekiti wa kamati ya maandilizi ya kampeni mkoani Ruvuma ya mgombea uraisi wa jamhuri ya mungano wa Tanzania...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tpJpzeqtCCnK26pDmyjVKktukkfKKOiolIV-Ran3h0DuXWGqmsYiEi2Pu0aCkee9UQhSvYo9tOjpfkXK9C98G6HKQ3LNLyzB/magufuli2.jpg?width=650)
DKT. MAGUFULI AZIDI KUNOGESHA KAMPENI ZA CCM ZA URAIS MKOANI RUVUMA
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-ufqmYnhjIWo/VfURaOtPPtI/AAAAAAABgZA/ZuIz5A0t9yI/s72-c/AKISALIMIANA%2BNABAADHI%2BYA%2BMADIWANI.jpg)
MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI MKOANI RUVUMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ufqmYnhjIWo/VfURaOtPPtI/AAAAAAABgZA/ZuIz5A0t9yI/s640/AKISALIMIANA%2BNABAADHI%2BYA%2BMADIWANI.jpg)
9 years ago
Dewji Blog25 Aug
Mgombea urais Dr Magufuli kufanya ziara ya kampeni Ruvuma kuanzia August 30 mwaka huu
Picha kutoka Maktaba.
Na Jamvi la Habari Songea
MGOMBEA Urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Dr. John Magufuli anatarajiwa kupokelewa na mamia ya wananchi wakiwemo wanachama wa chama cha mapinduzi katika kijiji cha Igawisenga wilayani Songea mkoa wa Ruvuma akitokea mkoa wa Njombe tayari kuanza kampeni mkoani humo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye ofisi za chama cha mapinduuzi mkoani Ruvuma Mwenyekiti wa kamati ya maandilizi ya kampeni mkoani Ruvuma ya mgombea uraisi wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Sycf-NXWY2Q/default.jpg)
9 years ago
Michuzi05 Sep
10 years ago
BBCSwahili23 Jul
''Museveni'' atoa wimbo mpya wa kampeni
9 years ago
Bongo521 Sep
Maurice Kirya kuachia wimbo maalum aliomuimbia marehemu mama yake Ijumaa hii
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10