Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI, UNDP, PATH WAKUBALIANA NJIA BORA YA KUKABILIANA NA TB, MALARIA NA MAGONJWA KWENYE NCHI ZA JOTO‏

Kaimu Mkurugenzi wa Kinga, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Neema Rusibayila, akifungua rasmi warsha ya mradi wa upatikanaji na utekelezaji wa pamoja kati ya Shirika la Maendeleo la Kimataifa (UNDP) na Shirika la Kimataifa lisilokuwa la Kiserikali (NGO) PATH kwenye sekta ya Afya katika utumiaji na uanzishwaji wa Teknolojia mpya katika kupamba na magonjwa ya TB, Malaria na magonjwa yaliyoachwa katika nchi za joto. Kushoto ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Serikali, UNDP, PATH wakubaliana njia bora ya kukabiliana na TB, Malaria na magonjwa kwenye nchi za joto

DSC_0773 Kaimu Mkurugenzi wa Kinga, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Neema Rusibayila, akifungua rasmi warsha ya mradi wa upatikanaji na utekelezaji wa pamoja kati ya Shirika la Maendeleo la Kimataifa (UNDP) na Shirika la Kimataifa lisilokuwa la Kiserikali (NGO) PATH kwenye sekta ya Afya katika utumiaji na uanzishwaji wa Teknolojia mpya katika kupamba na magonjwa ya TB, Malaria na magonjwa yaliyoachwa katika nchi za joto. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkazi, Oparesheni wa UNDP, Bw. Titus...

 

5 years ago

CCM Blog

NCHI 20 ZENYE NGUVU KIUCHUMI WAKUBALIANA KUSAMEHE KWA MUDA MADENI YA NCHI MASIKINI DUNIANI ILI ZIWEZE KUKABILIANA NA CORONA

Wakuu wa nchi 20 zenye nguvu kiuchumi na zinazoinukia kiuchumi duniani, G20 wamekubaliana kusamehe kwa muda madeni ya nchi masikini duniani. 
Mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa G20 wamesema wanaunga mkono kusimamisha kwa muda malipo ya madeni kwa nchi hizo ambazo zinahitaji kuvumiliwa. 
Uamuzi huo umefikiwa jana katika mkutano wao uliofanyika kwa njia ya video. 
Muda huo unaanza Mei Mosi hadi mwishoni mwa mwaka 2020 na deni kuu pamoja na malipo yote ya riba yatasimamishwa. 
Mkurugenzi...

 

9 years ago

Habarileo

UNDP yaanzisha mradi kukabiliana na tabianchi

SHIRIKA la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia Mfuko wa Mazingira Ulimwenguni, limefungua mradi wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya jua katika Kijiji cha Manchali, mkoani Dodoma.

 

11 years ago

GPL

WANANCHI RUKWA WAUNGA MKONO SERIKALI KUTENGA BAJETI MAALUM KUKABILIANA NA VIFO VYA UZAZI‏

Daktari Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, John William Gurisha akitoa takwimu za afya ya uzazi Mkoani Rukwa katika maadhimisho hayo. Washiriki anuai kutoka Mkoa wa Rukwa wakiwa katika picha za matukio. Baadhi ya washiriki wa sherehe za maadhimisho hayo ya siku ya Utepe…

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini ataka wananchi wa vijijini wasaidiwe kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi

IMG_4025

Mratibu  wa  mradi  wa  kudhibiti  wanyama  wakali  kwa kutumia   waya  na   mitii  maalumu  inayohimili  ukame  unaofadhiliwa na UNDP  Dr. Maurus  Msuha akitoa maelezo kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) alipotembelea miradi mbalimbali inayofadhiliwa na shirika la UNDP  wilayani Longido  mkoani  Arusha  katika  ziara  yake  ya  siku mbili mara baada ya kuwasili wilayani humo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani