AMUUA MKEWE KWA SULULU, AJINYONGA
Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan INAWEZA kuwa dawa?! Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Isaya M. Hangaya (30), mkazi wa Goba jijini Dar amemuua mkewe, Mery Charles Lugusha (26) kisha naye kujinyonga kisa kikisemekana ni mchepuko wa mwanamke huyo. Waombolezaji wakisali kuiombea rehema nafsi ya marehemu, Isaya M. Hangaya (30) na aliyekuwa mkewe Mery Charles Lugusha (26). Tukio hilo la kusikitisha lilitokea wiki...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi
10 years ago
Bongo509 Dec
Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!
9 years ago
Habarileo11 Oct
Ajinyonga kwa kukataliwa tendo la ndoa na mkewe
WATU wawili wamekufa mkoani Ruvuma katika matukio mawili tofauti, likiwemo la mkazi mmoja kujinyonga kwa kutumia kamba ya miti baada ya kukataliwa tendo la ndoa na mkewe.
11 years ago
Uhuru Newspaper08 Jul
Muuza nyama amuua mkewe kwa mapanga
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA.
POLISI mkoani Arusha, inamsaka muuza nyama, Lucas Lomayan (35), mkazi wa Ilboru, kwa tuhuma za kumuua mkewe kwa kumcharanga mapanga kwa kile kinachodaiwa wizi wa fedha za biashara na wivu wa kimapenzi.
Akizungumza na Uhuru, mtoto wa wanandoa hao, Jesca Lucas (10), alidai juzi saa 10 alfajiri, alisikia baba na mama yake wakizozana kuhusiana na masula ya wizi wa fedha na wivu wa kimapenzi.
Alidai baba yake alimweleza kwa ukali mama yake kuwa, alichukua fedha sh. 600,000...
10 years ago
GPLAMFUMANIA MKEWE, AMUUA MWANAUME KWA RISASI
9 years ago
BBCSwahili31 Aug
Amuua mkewe kwa gurunedi Afrika Kusini
10 years ago
Habarileo11 Feb
Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu
MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Mume ajinyonga baada ya kumuua mkewe kwa panga
10 years ago
GPLMUME AMUUA MKEWE KWA KUMPIGA MISUMARI KICHWANI