Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaka, dada kortini kwa kubaka

WATU wawili, kaka na dada yake wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi kwa tuhuma za kushirikiana kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 12. Waliofikishwa mahakamani ni Alfred...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wazee kortini kwa kubaka

WAZEE wawili akiwemo mlinzi wa Ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti  wanafunzi...

 

10 years ago

GPL

KAKA ADAIWA KUMTOROSHA DADA YAKE KWA MUME

Na Makongoro Oging’/Uwazi
ALLY Issa anayeishi Mombasa nchini Kenya, anadaiwa kumtorosha dada yake Hasina Issa (22)  aliyekuwa akiishi na mumewe, Baraka Ally (32), Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam.Tukio hilo lilitokea siku ya mkesha wa Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’. Hasina Issa siku ya harusi yake. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Ally alisema alitoa taarifa polisi...

 

10 years ago

GPL

DADA AMUUA KAKA YAKE KWA KISU KISA

Stori: Chande Abdallah na Haruni Sanchawa/Uwazi
DUNIA  imekwisha! Binti mmoja mwenye umri wa miaka 19, Rukia Ally anadaiwa kumuua kwa kumchoma kisu kaka yake wa kuzaliwa, Said Ally wote wakati whga Tegeta Mivumoni, Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutokana na kijana huyo kutaka kudhibiti tabia zisizofaa za dada yake huyo, tukio lililotokea usiku wa Januari 24 mwaka huu. Rukia Ally anayedaiwa...

 

10 years ago

GPL

KAKA ASIMAMIA FUMANIZI LA DADA'KE!

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
Aibu ya kufunga mwaka! Kaka mtu aliyejitambulisha kwa jina moja la Nicholaus kwa kushirikiana na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, amesimamia fumanizi la dada’ke ambaye ni denti wa sekondari moja jijini Dar (majina yanahifadhiwa kwa sababu maalum) ambapo alimfumania chumbani na njemba mmoja sharobaro aliyetajwa kwa jina la Abuu Ally, mkazi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Dada amsaidia kaka kunajisi binti wa miaka 12

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariMKAZI wa mtaa wa Tambukareli wilayani Mpanda, Helen Simon (20) anashikiliwa Polisi na kaka yake, Afred Mnyonge (24) kwa tuhuma za kumsaidia kaka huyo kumnajisi msichana jirani yao, mwenye umri wa miaka 12.

 

11 years ago

GPL

JIDE: MIMI NA GARDNER TUNAISHI KAMA KAKA NA DADA!

Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide katika pozi na mume wake Gardner Habash ‘Kapteini’ . Kumbe! Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide amefunguka kuwa yeye na mumewe, Gardner Habash ‘Kapteini’ kwa sasa wanaishi kama kaka na dada hivyo kuibua swali kivipi? Akizungumza na Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye...

 

10 years ago

Habarileo

Jela miaka 60, viboko 12 kwa kubaka wasichana kwa zamu

Pingu.MAHAKAMA ya Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, juzi imemhukumu mwanamume mmoja Festo Domisian (30), mkazi wa wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, kutumikia kifungo cha miaka 60 jela pamoja na kuchapwa viboko 12, baada ya kupatikana na hatia ya kubaka wasichana wawili kwa zamu akiwa na kisu na kumjeruhi mmoja wao.

 

11 years ago

Habarileo

Jela miaka 30 kwa kubaka

MAHAKAMA ya hakimu mkazi wilaya ya Shinyanga, imemtupa jela mkazi wa kijiji cha Ilobashi wilaya ya Shinyanga Vijijini miaka 30 baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili.

 

9 years ago

Habarileo

Jela miaka 60 kwa kubaka shemejiye

MKAZI wa Tabata Msimbazi, Dar es Salaam, Goodluck Aloyce (31) wiki hii ameanza kifungo cha miaka 60 jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka na kumlawiti shemeji yake mwenye umri wa miaka 11 mara kwa mara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani