Jela miaka 60, viboko 12 kwa kubaka wasichana kwa zamu
MAHAKAMA ya Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, juzi imemhukumu mwanamume mmoja Festo Domisian (30), mkazi wa wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, kutumikia kifungo cha miaka 60 jela pamoja na kuchapwa viboko 12, baada ya kupatikana na hatia ya kubaka wasichana wawili kwa zamu akiwa na kisu na kumjeruhi mmoja wao.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 Jan
Jela miaka 30 kwa kubaka
MAHAKAMA ya hakimu mkazi wilaya ya Shinyanga, imemtupa jela mkazi wa kijiji cha Ilobashi wilaya ya Shinyanga Vijijini miaka 30 baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili.
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Mlinzi Jela miaka 30 kwa kubaka
9 years ago
Habarileo25 Aug
Jela miaka 60 kwa kubaka shemejiye
MKAZI wa Tabata Msimbazi, Dar es Salaam, Goodluck Aloyce (31) wiki hii ameanza kifungo cha miaka 60 jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka na kumlawiti shemeji yake mwenye umri wa miaka 11 mara kwa mara.
11 years ago
Habarileo02 Apr
Jela miaka 30 kwa kosa la kubaka
MAHAKAMA Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imemtia hatiani mkazi wa Kijiji cha Mpimbwe wilayani Mlele , John Joseph ( 30) na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 65.
10 years ago
Habarileo13 Mar
Atupwa jela miaka 30 kwa kumsaidia mtoto kubaka
MAMA aliyemsaidia mwanawe kubaka , Regina Kigelulye, ametupwa jela miaka 30 sawa na mtoto wake ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kubaka, Sagimembe Mroso.
11 years ago
Habarileo17 Jul
Madereva bodaboda wadaiwa kubaka kwa zamu
WAENDESHA bodaboda wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, kwa tuhuma ya kumbaka msichana kwa zamu na kisha kumwekea mchanga katika sehemu zake za siri.
10 years ago
Habarileo06 Sep
Walioiba NMB jela miaka 37, viboko 24
WATU watano wamehukumiwa kifungo cha miaka 37 jela na kuchapwa viboko 24 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kuvamia na kupora fedha benki ya NMB tawi la Maswa kwa kutumia silaha.
10 years ago
Mwananchi26 Dec
‘Houseboy’ jela maisha kwa kubaka mtoto
9 years ago
Mtanzania30 Dec
Polisi jela maisha kwa kubaka, kulawiti mtoto
Na Faraja Masinde, Dar es Salaam
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imemhukumu askari polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, G 9762 PC Daniel (24) kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na makosa ya kubaka na kumlawiti mtoto wa miaka 13.
Mbali na kifungo hicho, mtuhumiwa huyo ameamriwa kulipa fidia ya Sh milioni 2 ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hizo.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi, Said Mkasiwa baada ya...