Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BATULI, MTUNISI KIMEELEWEKA

Stori:Musa Mateja na Gladness Mallya
WASANII wawili wa filamu, Nice Mohamed ‘Mtunisi’ na Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ambao walikuwa wapenzi kabla ya kuachana na mwanaume huyo kuoa, sasa wamerudiana rasmi. Staa wa filamu Bongo Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Kwa mujibu wa chanzo chetu kilicho jirani na wasanii hao kimesema wawili hao hivi sasa wanapika na kupakua.Kilisema baada ya kurudiana, kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BATULI: SITAKI HABARI ZA MTUNISI

Stori: Gladness Mallya WAMEMALIZANA! YOBNESH Yusuph ‘Batuli’ anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi wake aliye pia msanii mwenzake, Mtunisi kwani mapenzi yalishaisha. Staa anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli akipozi. Akistorisha na paparazi wetu, Batuli alisema hataki kumsikia wala kujua habari za Mtunisi kwani mapenzi...

 

10 years ago

Bongo Movies

BATULI: Mtunisi Hana Mvuto Kwangu, Nimepata Mzungu

Msanii ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwigizaji Nice Mohammed ‘ Mtunis ’ aitwaye batuli, amemchana zilipendwa wake huyo kwa kumwambia hana mvuto!

Kuonesha msisitizo, Batuli alisema kwa Mtunis ilikuwa ni kama daraja tu , alishapita hivyo hana mpango naye tena kwani tayari amepata mchumba wa Kizungu , raia wa nchi moja barani Afrika, ambaye muda wowote atamtangaza kuwa mume wake .

Alisema anaamini kwamba si kila jambo lililowahi kumtokea lina maana kwake kwani hata kutoka na Mtunis ilikuwa ni...

 

10 years ago

GPL

MTUNISI AKIONA CHA MOTO MAHAKAMANI

Stori: Mayasa Mariwata na Chande Abdallah
MSANII nyota wa filamu Bongo, Nice Mohammed  maarufu kama Mtunisi amekiona cha moto mahakamani baada ya kunyimwa dhamana na kutupwa mahabusu  katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam. Msanii nyota wa filamu Bongo, Nice Mohammed maarufu kama Mtunisi. Mtunisi alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar es Salaam Jumatatu iliyopita, ambapo baada ya kusomewa...

 

10 years ago

Bongo Movies

INASIKITISHA: Mtunisi afikishwa mahakamani kwa kumpiga mkewe.

Mtunisi alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar es Salaam Jumatatu iliyopita, ambapo baada ya kusomewa shtaka lake la kushambulia mwili, mtuhumiwa alikana na hivyo hakimu kuahirisha kesi hiyo hadi Desemba 15 mwaka huu itakapotajwa tena.

Hata hivyo, Mtunisi alishindwa kupewa dhamana baada ya hakimu kutoridhishwa na afya ya mwanamke huyo, Aziz ambaye anaugulia nyumbani.Katika hali nyingine, walinzi wa mahakama hiyo walionyesha mizengwe mikubwa kwa waandishi wa habari...

 

10 years ago

Tanzania Daima

IPTL kimeeleweka

HATIMAYE sakata la kuchota fedha kwenye Akaunti Maalum ya Tegeta Escrow, zilizohifadhiwa kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT), litajadiliwa bungeni Novemba 27 na 28 mwaka huu, imebainika. Hatua hiyo imefikiwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA kimeeleweka

KATIKA kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinang’oka madarakani, vyama vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), vinakusudia kufunga mkaba wa kusimamisha mgombea mmoja katika ngazi zote za uchaguzi....

 

9 years ago

Habarileo

Samata kimeeleweka

MENEJA wa mshambuliaji nyota wa TP Mazembe Mbwana Samatta, Jamal Kisongo amesema taratibu za Samatta kujiunga na klabu ya Genk ya Ubelgiji zimekamilika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

NICE MOHAMED ‘MTUNISI’: Msanii aliyekacha kurusha ndege kwa kunogewa uigizaji

TASNIA ya filamu ni miongoni mwa sekta ambazo zimefanikiwa kutoa ajira nyingi kwa vijana wa Kitanzania katika miaka ya hivi karibuni, hali inayosaidia kupunguza tabia za vijana kukaa vijiweni. Hata...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kimeeleweka Bunge la Katiba

BAADA ya msuguano wa siku 21, hatimaye wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameipitisha rasimu ya kanuni zitakazotumika kuendesha vikao vya Bunge hilo huku wakiweka kiporo utaratibu wa upigaji kura....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani