MTUNISI AKIONA CHA MOTO MAHAKAMANI
![](http://api.ning.com:80/files/4t8Bu5s6lgSx6UpEtSG2IpaVaMp-Lqr0wKSbOnSiy-qsjl8bxTGyJEVyB56gvjx9LwEo*6LFp3Z-RJnKbfUTaB1O2KAgCboO/MTUNUSI.jpg)
Stori: Mayasa Mariwata na Chande Abdallah MSANII nyota wa filamu Bongo, Nice Mohammed maarufu kama Mtunisi amekiona cha moto mahakamani baada ya kunyimwa dhamana na kutupwa mahabusu katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam. Msanii nyota wa filamu Bongo, Nice Mohammed maarufu kama Mtunisi. Mtunisi alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar es Salaam Jumatatu iliyopita, ambapo baada ya kusomewa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog30 Jan
Mwalimu aliyetelekeza watoto akiona cha moto
Na Nathaniel Limu, Singida
MWALIMU wa shule za msingi mstaafu wilaya ya Iramba mkoa wa Singida, Julius Ezekiel Magandi, ameamriwa na mahakama ya mwanzo Utemini mjini hapa, kulipa/kutoa shilingi laki moja kila mwezi ikiwa ni gharama ya kutunza watoto wake wawili aliowatelekeza.
Mahakama hiyo imemwamuru mwalimu Magandi kuanza kutekeleza amri hiyo kuanzia Januari mwaka huu hadi hapo watoto hao watakapofikisha umri wa miaka 18.
Hakimu wa mahakama hiyo Ferdinard Njau, alisema mwalimu Magandi...
10 years ago
Bongo Movies03 Dec
INASIKITISHA: Mtunisi afikishwa mahakamani kwa kumpiga mkewe.
Mtunisi alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar es Salaam Jumatatu iliyopita, ambapo baada ya kusomewa shtaka lake la kushambulia mwili, mtuhumiwa alikana na hivyo hakimu kuahirisha kesi hiyo hadi Desemba 15 mwaka huu itakapotajwa tena.
Hata hivyo, Mtunisi alishindwa kupewa dhamana baada ya hakimu kutoridhishwa na afya ya mwanamke huyo, Aziz ambaye anaugulia nyumbani.Katika hali nyingine, walinzi wa mahakama hiyo walionyesha mizengwe mikubwa kwa waandishi wa habari...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Lf1B3Uv2G4uzkWppCC6VVCstbBLFCgUkIABbLnHT9wcQOpqLgVnMz1h6X2DDr4XhI8LlqWIgcwaEbBF4gMk1uViJsn5F1zd7/bodabodacopy.jpg?width=650)
BODABODA AMSHIKA AFANDE KALIO,AKIONA!!
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-j05GOWYLiB8/XvB8e8SGAoI/AAAAAAALu5Y/fHlSZlSuHNMefCThnNXjW4J2AiQlxplHQCLcBGAsYHQ/s72-c/hCWUmxf2_400x400.png)
TAKUKURU MANYARA YAMPANDISHA MAHAKAMANI MMILIKI WA KITUO CHA MAFUTA CHA SIMON LEMEYA KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI
![](https://1.bp.blogspot.com/-j05GOWYLiB8/XvB8e8SGAoI/AAAAAAALu5Y/fHlSZlSuHNMefCThnNXjW4J2AiQlxplHQCLcBGAsYHQ/s320/hCWUmxf2_400x400.png)
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Simanjiro, Manyara kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka itamfikisha katika Mahakama ya Wilaya mmiliki wa Kituo cha mafuta cha Simon Lemeya kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Lemeya atafikishwa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro leo Juni 22 kwa makosa ya kughushi, matumizi ya nyaraka, kudanganya na kuisababishia serikali hasara ya Sh Milioni 5,609,000 kinyume cha sheria ya uhujumi uchumi Cap 200 marejeo ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8T9z0-k3jLwqsoDScbDVgP2JeUT9esWWqSA0ygBg2aIiqkMek09ajKYajfixqFcLtFO-SNEb8G9TZawD6sLtaNt/BATULI.gif?width=650)
BATULI, MTUNISI KIMEELEWEKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kqu4JOS-VwMC*hHjMKHk-*AzwMYesUhPGAOBmBAlMHloTJra*riPQbxsItQzxD-w3lDs3JYbge8jIByFEbzpcrhi1-AH5rLT/BATULI.jpg)
BATULI: SITAKI HABARI ZA MTUNISI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p1hCpNEYWCJjE4najr9bCzxEfpLHWJYpa8sHvxa3iQXBKhWphJ3HUGnCtO3BZ1S6mQPm*aDI536ksKGoBNNs4VV72Yl8zq4G/moto1.jpg?width=650)
MOTO WATEKETEZA KITUO CHA KUPOZEA UMEME CHA MJINI MOSHI
9 years ago
Bongo503 Dec
Kituo cha redio cha Hits FM, Zanzibar chavamiwa na kuchomwa moto
![Coke](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Coke-300x194.jpg)
Kituo cha redio cha Hits FM cha visiwani Zanzibar, kimevamiwa na watu wasiojulikana na kuchomwa moto.
Studio za Hits FM baada ya kuchomwa moto
Naibu Kamishna wa Polisi visiwani humo, Salim Msangi ameiambia Radio One kuwa tukio hilo lilitokea saa saba na dakika 40 usiku.
Amesema watu hao waliofika kwenye studio hizi walimdhibiti mtangazaji huyo na kumziba mdomo na macho na kisha kutumia mito na makochi yalikuwepo hapo kukichoma.
Mtangazaji huyo aliyekuwa peke yake, alisema watu hao walikuwa...
10 years ago
VijimamboTransfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa lateketea kwa moto
![](http://3.bp.blogspot.com/-kE91SlGXns0/VLkDLPvTDSI/AAAAAAAG9zc/EPpxlsoj2l4/s640/IMG-20150116-WA0002.jpg)