TAKUKURU MANYARA YAMPANDISHA MAHAKAMANI MMILIKI WA KITUO CHA MAFUTA CHA SIMON LEMEYA KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI
Charles James, Michuzi TV.
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Simanjiro, Manyara kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka itamfikisha katika Mahakama ya Wilaya mmiliki wa Kituo cha mafuta cha Simon Lemeya kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Lemeya atafikishwa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro leo Juni 22 kwa makosa ya kughushi, matumizi ya nyaraka, kudanganya na kuisababishia serikali hasara ya Sh Milioni 5,609,000 kinyume cha sheria ya uhujumi uchumi Cap 200 marejeo ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTAKUKURU KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WATUMISHI SABA TPA ,WAKILI WA KUJITEGEMA KWA TUHUMA ZA MAKOSA YA RUSHWA, UHUJUMU UCHUMI NA WIZI WA SH.BILIONI NANE
Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WATUMISHI saba wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA) pamoja na Wakili wa Kujitegemea kutoka Kampuni ya Mnengele &Associates na ELA Advocatee watafikishwa mahakamani wakati wowote kwa kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya rushwa na uhujumu uchumi.
Hayo yameelezwa leo Juni 12 mwaka 2020 na Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza Daud Ndyamukama kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari ambapo amefafanua watumishi hao tayari...
5 years ago
MichuziMKURUGNZI MKUU MSD,MKUU WW LOJISTIKI WAFIKISHWA MAHAKAMANI WAKIKABILIWA NA KESI YA TUHUMA YA UHUJUMU UCHUMI
MKURUGENZI Mkuu wa Bohari kuu ya Dawa (MSD) nchini, Laurean Bwanakunu na Mkuu wa Lojistiki wa bohari hiyo Byekwaso Tabura wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka matano likiwemo la kuisababishia hasara ya zaidi ya Sh.Bilioni bilioni 3.8
Mashtaka mengine ni kuongoza genge la uhalifu, utakatishaji na matumizi mabaya ya madaraka. Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo leo Juni 5, 2020, na...
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.
Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.
Hapa usafi ukiendelea.
Hapa ni kazi usafi ukifanyika.
Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...
5 years ago
MichuziMFANYABIASHARA LEMA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Vicky Mwaikambo na Wakili wa serikali mwamdamizi, Maternus Marandu imedai mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka ya kuongoza genge la uhalifu, kusafirisha magogo, kugushi, kutoa...
9 years ago
MichuziHASSANOO NA WENZAKE WAACHIWA NA KUKAMATWA TENA KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI
Na Mwene Nantaha wa Blogu ya Jamii. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoani Pwani (Corefa), Hassani Othman maarufu kama Hasanoo (44) na wenzake leo waliachiwa huru na kisha kukamatwa na kushtakiwa upya kwa mashtaka ya uhujumu uchumi.
Kadhalika Hasanoo alifutiwa mashitaka matatu ya uhujumu uchumi pamoja na kusafirisha pembe za ndovu kutoka Dar es Salaam kwenda Hong Kong, zenye thamani ya Sh. bilioni 1.1, chini ya kifungu cha 91 kidogo cha (1) mbele ya Hakimu Mkazi Thomas Simba....
5 years ago
MichuziTAKUKURU MANYARA YAMFIKISHA KORTINI MWENYEKITI WA SOKO KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu, Juni 9 mwaka huu, Songelaeli ameshtakiwa kwa kosa la kutoa rushwa ya shilingi 407,000 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Yefred...
10 years ago
StarTV04 Feb
Watatu washikiliwa kwa tuhuma za kuvunja kituo cha Polisi.
Na Jackson Monela,
Morogoro.
Polisi mkoani Morogoro inawashikilia wakazi watatu wa Mgeta wilayani Kilombero mkoani Morogoro kwa tuhuma za kujihusisha na uvunjaji wa kituo kidogo cha Polisi Mgeta na kuiba baadhi vya vielelezo vya jeshi hilo pamoja Bunduki aina ya SMG yenye risasi 30.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi wa Polisi Leonard Paul amewataja watuhumiwa wanaoshikiliwa na jeshi hilo kuwa ni pamoja na Ramadhan Shewele mwenye miaka 20, Khamis Ahmed miaka 45 na Ignas...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MAFUTA YA PANONE YAWAKUMBUKA WATOTO WANAOLELEWA KATIKA KITUO CHA GABRIELA CHA MJINI MOSHI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI