Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BATULI: Mtunisi Hana Mvuto Kwangu, Nimepata Mzungu

Msanii ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwigizaji Nice Mohammed ‘ Mtunis ’ aitwaye batuli, amemchana zilipendwa wake huyo kwa kumwambia hana mvuto!

Kuonesha msisitizo, Batuli alisema kwa Mtunis ilikuwa ni kama daraja tu , alishapita hivyo hana mpango naye tena kwani tayari amepata mchumba wa Kizungu , raia wa nchi moja barani Afrika, ambaye muda wowote atamtangaza kuwa mume wake .

Alisema anaamini kwamba si kila jambo lililowahi kumtokea lina maana kwake kwani hata kutoka na Mtunis ilikuwa ni...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BATULI, MTUNISI KIMEELEWEKA

Stori:Musa Mateja na Gladness Mallya
WASANII wawili wa filamu, Nice Mohamed ‘Mtunisi’ na Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ambao walikuwa wapenzi kabla ya kuachana na mwanaume huyo kuoa, sasa wamerudiana rasmi. Staa wa filamu Bongo Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Kwa mujibu wa chanzo chetu kilicho jirani na wasanii hao kimesema wawili hao hivi sasa wanapika na kupakua.Kilisema baada ya kurudiana, kwa...

 

10 years ago

GPL

BATULI: SITAKI HABARI ZA MTUNISI

Stori: Gladness Mallya WAMEMALIZANA! YOBNESH Yusuph ‘Batuli’ anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi wake aliye pia msanii mwenzake, Mtunisi kwani mapenzi yalishaisha. Staa anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli akipozi. Akistorisha na paparazi wetu, Batuli alisema hataki kumsikia wala kujua habari za Mtunisi kwani mapenzi...

 

11 years ago

GPL

AMISA: DIAMOND HANA CHAKE KWANGU

Stori: Mayasa Mariwata
MREMBO anayedaiwa kuliingilia penzi la staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, aliyewahi kushiriki Shindano la Miss Tanzania, Amisa Mabeto amefunguka kuwa  mwanamuziki huyo ni shemeji yake tu, hakuna chochote kati yao. Amisa Mabeto. Akipiga stori na safu hii kuhusiana na madai hayo, Amisa alisema alistaajabu kwani hana mazoea na Diamond Kama ni kuonana...

 

10 years ago

GPL

Ngassa: Nimepata timu Qatar

Mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Wilbert Molandi na Hans Mloli
BAADA ya kutoa kauli kuwa anaondoka Yanga, hatimaye kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mrisho Ngassa, amefunguka juu ya kule anapoelekea baada ya kuondoka klabuni hapo. Ngassa ameliambia gazeti hili katika mahojiano maalum kuwa, kuna timu tatu za nchi tatu tofauti ambazo anafanya nazo mazungumzo na muda wowote anaweza kumalizana na mojawapo, kisha atataja rasmi...

 

10 years ago

Michuzi

NGEJELA: NIMEPATA FUNDISHO KUWANIA URAIS

 MBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja akibadilisha mawazo na wabunge wenzake, Ezekiel Maige (Msalala) na Dk. Dalaly Peter Kafumu (Igunga), wakati aliporejesha fomu kwenye ofisi za Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma.MBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja, akirejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia CCM kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi, kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho mjini Dodoma, jana.
Na Mwandishi Maalum, Dodoma
MBUNGE...

 

10 years ago

Michuzi

USIKOZE SEHEMU YA KWANZA YA SIMULIZI "NIMEPATA NJIA"

Ulikuwa ni usiku wa manane majira ya saa nane na nusu, ambapo Mzee Jengo alikuwa amepumzika kitandani akiwa na mtoto wake wa kiume ambaye alikuwa anaitwa Rony. Alikuwa ni kijana mdogo mwenye umri  kati ya miaka nane au tisa, Usiku huo hali ya Mzee Jengo ilikuwa si nzuri kwani alianza kujisikia vibaya ghafla kiasi kwamba hata alipojaribu kunyanyuka alishindwa. Kutokana na maumivu makali aliyokuwa akiyasikia aliamua kumuamsha mtoto wake, taratibu alinyoosha mkono na kuanza kumvuta Ronyhuku...

 

10 years ago

GPL

MLELA: NIMEPATA MTOTO KWA BAHATI MBAYA!

Brighton Masalu
YUSUF Godfrey Willard Mlela, muigizaji nyota wa filamu Bongo, alipata mtoto kwa bahati mbaya baada ya ‘kuuza mechi’ kwa msichana ambaye hakuwa na malengo naye kimaisha, lakini amelazimika kumhudumia kijana wake kwa kila kitu muhimu. muigizaji nyota wa filamu Bongo, Yusuph Godfrey Willard Mlela. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, alisema alikutana na msichana huyo ambaye alikataa kumtaja jina...

 

10 years ago

GPL

MTUNISI AKIONA CHA MOTO MAHAKAMANI

Stori: Mayasa Mariwata na Chande Abdallah
MSANII nyota wa filamu Bongo, Nice Mohammed  maarufu kama Mtunisi amekiona cha moto mahakamani baada ya kunyimwa dhamana na kutupwa mahabusu  katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam. Msanii nyota wa filamu Bongo, Nice Mohammed maarufu kama Mtunisi. Mtunisi alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar es Salaam Jumatatu iliyopita, ambapo baada ya kusomewa...

 

10 years ago

Bongo Movies

INASIKITISHA: Mtunisi afikishwa mahakamani kwa kumpiga mkewe.

Mtunisi alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar es Salaam Jumatatu iliyopita, ambapo baada ya kusomewa shtaka lake la kushambulia mwili, mtuhumiwa alikana na hivyo hakimu kuahirisha kesi hiyo hadi Desemba 15 mwaka huu itakapotajwa tena.

Hata hivyo, Mtunisi alishindwa kupewa dhamana baada ya hakimu kutoridhishwa na afya ya mwanamke huyo, Aziz ambaye anaugulia nyumbani.Katika hali nyingine, walinzi wa mahakama hiyo walionyesha mizengwe mikubwa kwa waandishi wa habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani