AMISA: DIAMOND HANA CHAKE KWANGU
![](http://api.ning.com:80/files/aq07GQXjwH371JEch0UNzLUg6AfsCE2h47NC4IDtgWtCLalZhpJtnIObkwMFO7rwOGmpd32e4EmR-ppdalLJNGfuKhxkamDA/3AMISA.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata MREMBO anayedaiwa kuliingilia penzi la staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, aliyewahi kushiriki Shindano la Miss Tanzania, Amisa Mabeto amefunguka kuwa mwanamuziki huyo ni shemeji yake tu, hakuna chochote kati yao. Amisa Mabeto. Akipiga stori na safu hii kuhusiana na madai hayo, Amisa alisema alistaajabu kwani hana mazoea na Diamond Kama ni kuonana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TARUKDkBK7rkN2vGHVmxXwORjnWyVOz0tkwG3dgeMpK9VNB-Kb2rvPf4RejQb0KLwEmhHgZFWPuOy6nVNDm0pwINyXh2LOiU/diamond.jpg)
PENNY: DIAMOND HANA CHAKE, NIMESHAPOSWA
10 years ago
Bongo Movies06 Dec
BATULI: Mtunisi Hana Mvuto Kwangu, Nimepata Mzungu
Msanii ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwigizaji Nice Mohammed ‘ Mtunis ’ aitwaye batuli, amemchana zilipendwa wake huyo kwa kumwambia hana mvuto!
Kuonesha msisitizo, Batuli alisema kwa Mtunis ilikuwa ni kama daraja tu , alishapita hivyo hana mpango naye tena kwani tayari amepata mchumba wa Kizungu , raia wa nchi moja barani Afrika, ambaye muda wowote atamtangaza kuwa mume wake .
Alisema anaamini kwamba si kila jambo lililowahi kumtokea lina maana kwake kwani hata kutoka na Mtunis ilikuwa ni...
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Harmonizer: Diamond hana dharau
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKALI wa ngoma ya ‘Aiyola’ Rajabu Abdulkhali maarufu kama Harmonizer amesema kuwa bosi wake Diamond Platnumz hana mashauzi na dharau kama wengi wanavyomfikiria.
Akibonga na Swaggaz juzi jijini Dar es Salaam, Harmonizer alisema kuwa tuhuma hizo zinatokana na namna nyota huyo wa wimbo wa Nana anavyojiweka, lakini ni mtu poa sana ndiyo maana alikubali kumsaidia na kumsimamia vyema kimuziki.
“Diamond angekuwa na dharau asingenisaidia kufika hapa nilipo, ni mtu poa sana,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TuH-vYM0DCyEd8qd3xBObjwlGiFMQVzuB8P4a6fDS72RLlWHEA3WblPmhhcIKeOVniAsLpHBjDLlLlDttzgotyyCeh2cZGc9/FRONT.jpg?width=650)
JOKATE: DIAMOND HANA AKILI TIMAMU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k3CULkKWsLb6C7SPSWHPZm87uS8HBPitVHZMpfqvaJ17tujMkxiTIbNw6uI8T7h3tB9Tl2Dc0hkk8ETZYnfp8uHm1YODEGe6/FRONTJUMAMOSI.jpg)
DIAMOND HANA UWEZO WA KUMPA MWANAMKE UJAUZOTO!
10 years ago
Vijimambo03 Jan
JOKATE: DIAMOND HANA AKILI TIMAMU....AMPA MAKAVU LAIVU KWEUPE
![](http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2012/10/Jokate-2.jpg)
11 years ago
Bongo517 Jul
Alikiba asema hana chuki na Diamond, ampongeza lakini…’sifikirii kuongea naye’
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-W_BwfUMX3Io/VJ5RjDXnzjI/AAAAAAAAEqg/E3ezDaWqktg/s72-c/IMG_0030.jpg)
BAADA YA KUDAIWA KUTOA MIMBA 2 . PENNY: DIAMOND HANA UWEZO WAKUPA MWANAMKE UJAUZITO
![](http://2.bp.blogspot.com/-W_BwfUMX3Io/VJ5RjDXnzjI/AAAAAAAAEqg/E3ezDaWqktg/s640/IMG_0030.jpg)
9 years ago
Bongo523 Nov
Diamond hana mpango wa kufanya nyimbo za Kiingereza – Asema meneja wake Babu Tale
![mondi bin awards](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mondi-bin-awards-300x194.jpg)
Muziki ni lugha ya dunia, ndio sababu kuna wanamuziki wengi wanaimba lugha za kwao lakini bado wanafanya vizuri katika nchi nyingine zisizoongea lugha hizo.
Diamond Platnumz ametokea kuwa balozi mzuri wa lugha ya Kiswahili, kwasababu mafanikio aliyonayo sasa ya kufanya vizuri ndani na nje ya Afrika yametokana na nyimbo za Kiswahili alizotoa hadi sasa.
Baada ya kugundua kuwa kinachoweza kusababisha wimbo upendwe kimataifa sio lugha, hit maker huyo wa ‘Nana’ hana mpango kabisa wa kurekodi...