Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Harmonizer: Diamond hana dharau

DSC_0266NA CHRISTOPHER MSEKENA

MKALI wa ngoma ya ‘Aiyola’ Rajabu Abdulkhali maarufu kama Harmonizer amesema kuwa bosi wake Diamond Platnumz hana mashauzi na dharau kama wengi wanavyomfikiria.

Akibonga na Swaggaz juzi jijini Dar es Salaam, Harmonizer alisema kuwa tuhuma hizo zinatokana na namna nyota huyo wa wimbo wa Nana anavyojiweka, lakini ni mtu poa sana ndiyo maana alikubali kumsaidia na kumsimamia vyema kimuziki.

“Diamond angekuwa na dharau asingenisaidia kufika hapa nilipo, ni mtu poa sana,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PENNY: DIAMOND HANA CHAKE, NIMESHAPOSWA

Stori: Chande Abdallah na Mayasa Mariwata
MTANGAZAJI aliyewahi kujiachia kimalovee na Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amesema mwanamuzi huyo kwa sasa alie tu kwani ameshachumbiwa na hawezi kumpata tena. Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’. Kauli ya mwanadada huyo ilikuja baada ya kuulizwa kama anaafikiana na kauli ya mama wa Wema Sepetu, Miriam Sepetu kwamba, kwa kuwa...

 

10 years ago

GPL

JOKATE: DIAMOND HANA AKILI TIMAMU

Stori: imelda mtema
Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ au ‘Jojo’ amemrushia maneno makali aliyewahi kuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa hana akili timamu kufuatia maneno aliyotoa kuwa enzi za uhusiano wao, eti mwanadada huyo alikuwa akichenga kumzalia mtoto. Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate Mwegelo...

 

11 years ago

GPL

AMISA: DIAMOND HANA CHAKE KWANGU

Stori: Mayasa Mariwata
MREMBO anayedaiwa kuliingilia penzi la staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, aliyewahi kushiriki Shindano la Miss Tanzania, Amisa Mabeto amefunguka kuwa  mwanamuziki huyo ni shemeji yake tu, hakuna chochote kati yao. Amisa Mabeto. Akipiga stori na safu hii kuhusiana na madai hayo, Amisa alisema alistaajabu kwani hana mazoea na Diamond Kama ni kuonana...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND HANA UWEZO WA KUMPA MWANAMKE UJAUZOTO!

Stori: Imelda Mtema
BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kujibu mapigo kwamba mwanamuziki huyo hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba, Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili. Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Wema Sepetu. CHANZO...

 

10 years ago

Vijimambo

JOKATE: DIAMOND HANA AKILI TIMAMU....AMPA MAKAVU LAIVU KWEUPE


Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ au ‘Jojo’ amemrushia maneno makali aliyewahi kuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa hana akili timamu kufuatia maneno aliyotoa kuwa enzi za uhusiano wao, eti mwanadada huyo alikuwa akichenga kumzalia mtoto.MAHOJIANOKatika mahojiano maalum ya hivi karibuni kupitia Kipindi cha Mtu Kati cha Runinga ya GlobalTV Online chenye makao yake makuu ndani ya Ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga-Mwenge,...

 

11 years ago

Bongo5

Alikiba asema hana chuki na Diamond, ampongeza lakini…’sifikirii kuongea naye’

Wiki Ijayo Alikiba atakuwa mgeni katika kipindi cha runinga cha The Sporah show. Katika promo ya mahojiano yake na Sporah inayoendelea kurushwa kupitia Clouds TV, Alikiba amemzungumzia Diamond Platnumz ambaye huwa inasemekana wana-beef. katika promo hiyo Sporah amemuuliza Alikiba kama Diamond ndiye amechukua nafasi yake kwenye muziki kwa kipindi alichokaa kimya, na majibu yake yanaongeza […]

 

9 years ago

Bongo5

Diamond hana mpango wa kufanya nyimbo za Kiingereza – Asema meneja wake Babu Tale

mondi bin awards

Muziki ni lugha ya dunia, ndio sababu kuna wanamuziki wengi wanaimba lugha za kwao lakini bado wanafanya vizuri katika nchi nyingine zisizoongea lugha hizo.

mondi bin awards

Diamond Platnumz ametokea kuwa balozi mzuri wa lugha ya Kiswahili, kwasababu mafanikio aliyonayo sasa ya kufanya vizuri ndani na nje ya Afrika yametokana na nyimbo za Kiswahili alizotoa hadi sasa.

Baada ya kugundua kuwa kinachoweza kusababisha wimbo upendwe kimataifa sio lugha, hit maker huyo wa ‘Nana’ hana mpango kabisa wa kurekodi...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KUDAIWA KUTOA MIMBA 2 . PENNY: DIAMOND HANA UWEZO WAKUPA MWANAMKE UJAUZITO

BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kujibu mapigo kwamba mwanamuziki huyo hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba.CHANZO CHA YOTEAkizungumza na GlobalTV Online kwenye ofisi za gazeti hili Bamaga-Mwenge jijini Dar, hivi karibuni, Diamond alifunguka: “Nilimpa (Penny) mimba ya kwanza, sikuamini ikabidi twende naye hospitalini tukapime, akaambiwa anayo…nikafurahi...

 

11 years ago

GPL

MADHARA YA KUWA NA DHARAU

Kama nilivyokwisha kuzungumza hapo juu, dharau si tabia nzuri kwa binadamu. Madhara ambayo mtu anaweza kuyapata kama atakuwa na tabia hii ni makubwa  na yanaweza kuathiri maisha yake kwa ujumla ukiachilia mbali uwezo wako wa fedha ulionao, umri wako na elimu uliyonayo. Binadamu ni watu wa matatizo kila siku, uwe na fedha ama elimu ya aina gani, lakini lazima utapata matatizo ambayo yatahitaji ushirikiano na msaada kwa njia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani