MADHARA YA KUWA NA DHARAU
![](http://api.ning.com:80/files/vuUh0rgUyT4lEk7twC0v*vw7M1v8w**WC-YDBVahWf-w7LoHeCeeXmbB8cGaebpWV7n7-vhAWSRzaXvza0XAo5L*U8gdjqAm/blackwomanthinkingpf.jpg?width=650)
Kama nilivyokwisha kuzungumza hapo juu, dharau si tabia nzuri kwa binadamu. Madhara ambayo mtu anaweza kuyapata kama atakuwa na tabia hii ni makubwa na yanaweza kuathiri maisha yake kwa ujumla ukiachilia mbali uwezo wako wa fedha ulionao, umri wako na elimu uliyonayo. Binadamu ni watu wa matatizo kila siku, uwe na fedha ama elimu ya aina gani, lakini lazima utapata matatizo ambayo yatahitaji ushirikiano na msaada kwa njia...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Harmonizer: Diamond hana dharau
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKALI wa ngoma ya ‘Aiyola’ Rajabu Abdulkhali maarufu kama Harmonizer amesema kuwa bosi wake Diamond Platnumz hana mashauzi na dharau kama wengi wanavyomfikiria.
Akibonga na Swaggaz juzi jijini Dar es Salaam, Harmonizer alisema kuwa tuhuma hizo zinatokana na namna nyota huyo wa wimbo wa Nana anavyojiweka, lakini ni mtu poa sana ndiyo maana alikubali kumsaidia na kumsimamia vyema kimuziki.
“Diamond angekuwa na dharau asingenisaidia kufika hapa nilipo, ni mtu poa sana,...
9 years ago
Bongo506 Oct
Video: G rico classic — Dharau
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V7mcip*tK2ScM7xlmCSiiGHPER9TbehBpYCrAnlYKPAQ-j0kvWTPcSX5njSOifBqjVn1MP25-4OpeqTG2god5yeab9yFLnBC/MAMAWEMAh.jpg)
CHEGGE CHIGUNDA, HIZO SASA DHARAU!
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Matumizi ya dola dharau kwa Tanzania
9 years ago
Bongo526 Aug
Picha: Tazama utani wa dharau ambao 50 Cent amemuonesha Diddy Instagram
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Madhara ya kuvuta sigara
KAMA unavuta sigara acha kuvuta, kama hujaanza usianze. Kwanini uache na kwanini usianze? Ni kwa kuwa tafiti nyingi zimeonesha kuwa ukivuta sigara unajipunguzia miaka ya kuishi. Makala ya wiki iliyopita...
11 years ago
Habarileo25 Jun
Madhara ya kuongeza maumbile
NAIBU Waziri wa Afya, Dk Kebwe Stephen amesema amesikia baadhi ya madhara yanayotokea kwa kutumia dawa za kuongeza maumbile, husababisha wanawake kuwa na makalio yenye ukubwa tofauti na maumbile ya wanaume huwa kama mkufu.
10 years ago
Vijimambo21 Jan
MADHARA YA POMBE KIAFYA.
1.Vidonda vya tumbo.
2.Kansa ya utumbo.
3.Kusinyaa kwa Ini.
4.Kansa ya Ini.
5.Kansa ya umio(oesophagus)
6.Vindonda kwenye mapafu.
7.Utapiamlo hasa wale wanaokunywa huku lishe duni.
8.Matatizo ya ganzi miguuni na...
11 years ago
GPLMADHARA YA MADAWA YA KULEVYA-2