MADHARA YA POMBE KIAFYA.
HAYA NI BAADHI TU YA MADHARA YA POMBE KIFYA.ACHA KUNYWA POMBE UIMARISHE AFYA YAKO.Pombe za aina zote zina kemikali ambazo baadhi ya hizo kemikali huwa ni sumu mwilini,hivyo kuacha athari ya kiafya kwa mtumiaji.Pombe inaweza ikamdhuru mtumiaji kwa kumsababishia madhara yafuatayo:
1.Vidonda vya tumbo.
2.Kansa ya utumbo.
3.Kusinyaa kwa Ini.
4.Kansa ya Ini.
5.Kansa ya umio(oesophagus)
6.Vindonda kwenye mapafu.
7.Utapiamlo hasa wale wanaokunywa huku lishe duni.
8.Matatizo ya ganzi miguuni na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Aug
PIRAMIDI YA AFYA: Kurefusha uume na madhara yake kiafya
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UxG8FbEp4zaNra-UMzL8Gfc9e*g5Uj2kF6XmOkuNV0D84KeRub1bWm3es8XVz-TWxksSgpgUSMGtONzUVafl3HvddIsm2gTe/BACKIJUMAA.gif?width=650)
MADHARA YA POMBE ZA OFA! ALEWA AZIMIA WAHUNI WAMUUZA!
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/NuRISITRVTs/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
NIMR Mwanza wafanya mkutano wa wadau kuhusiana na madhara ya Pombe kwa vijana
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Taasisi ya Taifa ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR) tawi la Mwanza mapema Machi 25 mwaka huu imeendesha warsha ya wadau mbalimbali kuhusiana na Madhara ya Pombe kwa vijana kufuatia utafiti uliofanywa katika maeneo kadhaa ya Tanzania, ikiwemo Mkoa wa Kilimanjaro.
Warsha hiyo iliwakutanisha wadau mbalimbali wakiwemo Madaktari, wakuu wa idara za Polisi barabarani, wakuu wa Taasisi za Afya na mashirika ya kupiga vita matumizi ya vileo na...
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Faida nyingi za uyoga kiafya
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Athari za kiafya migodini Tanzania
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Faida za kiafya za kula ndizi
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Tuliangalie kundi hili kiafya
BAADHI ya watu wenye ulemavu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto nyingi katika maisha yao. Hivi karibuni Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP), uliandaa warsha iliyoshirikisha asasi zaidi ya 70 na kujadiliana uboreshaji wa...