CHEGGE CHIGUNDA, HIZO SASA DHARAU!
SAIDI Chigunda ni mmoja kati ya wasanii wakubwa wanaotingisha anga la Bongo Fleva hivi sasa. Ingawa hayupo katika levo za kujidai sana, lakini ni kutokujua tu kunakoweza kukufanya umtoe katika kumi bora za wasanii wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini. Amepiga kazi nyingi sana zinazomfanya kuwa juu tangu alipojiunga na Kundi la TMK Wanaume Family, wakati huo watoto wa Temeke wakiwa kitu kimoja chini ya uongozi wa Said Fella...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies18 Jun
Chegge Kutesa Katika Tamthilia
Staa wa muziki Chegge Chigunda ameweka wazi kuwa baada ya kuona ukubwa na mafanikio ya projekti ya filamu aliyofanya huko Nairobi, katika siku zijazo ataanza kuonekana katika Tamthilia ya Muendelezo ama Series ya kazi hiyo ambayo ilifanyika miaka kadhaa iliyopita.
Chegge ambaye hivi sasa anatamba katika chati mbali mbali kupitia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina 'Mwananyamala', ambaye ameeleza kuwa atatanguliza projekti ya awali ya kazi hiyo ambayo imekwishakamilika, anatarajiwa kuwa...
11 years ago
GPLCHEGGE, TEMBA WAFUNIKA DAR LIVE USIKU HUU
11 years ago
GPLMADHARA YA KUWA NA DHARAU
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Harmonizer: Diamond hana dharau
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKALI wa ngoma ya ‘Aiyola’ Rajabu Abdulkhali maarufu kama Harmonizer amesema kuwa bosi wake Diamond Platnumz hana mashauzi na dharau kama wengi wanavyomfikiria.
Akibonga na Swaggaz juzi jijini Dar es Salaam, Harmonizer alisema kuwa tuhuma hizo zinatokana na namna nyota huyo wa wimbo wa Nana anavyojiweka, lakini ni mtu poa sana ndiyo maana alikubali kumsaidia na kumsimamia vyema kimuziki.
“Diamond angekuwa na dharau asingenisaidia kufika hapa nilipo, ni mtu poa sana,...
9 years ago
Bongo506 Oct
Video: G rico classic — Dharau
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Matumizi ya dola dharau kwa Tanzania
9 years ago
Bongo526 Aug
Picha: Tazama utani wa dharau ambao 50 Cent amemuonesha Diddy Instagram
10 years ago
Michuziusafiri enzi hizo....
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Watu njatanjata ilivyopagawisha enzi hizo