Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu njatanjata ilivyopagawisha enzi hizo

>Mwishoni mwa miaka ya 80, kulikuwa na bendi nyingi za muziki wa dansi, ambazo zilikuwa zikileta upinzani uliozaa burudani iliyokuwa inakonga nyonyo za mashabiki wa muziki huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Kwenye stori za utani wa Rais Magufuli na watu wake, cheki alivyoukataa Urais enzi hizo.. (+Video)

Kuna wakati unajikuta unaelekea njia ambayo hujaipanga kwenye maisha yako, lakini huenda MUNGU alikupangia huko… jina la Dk. John Pombe Magufuli huenda halikupewa nafasi kubwa sana na watu wengi hasa ukiiangalia list ya makada 38 wa CCM walioingia kwenye mchakato wa kugombea Urais 2015, mwisho wa siku akapita yeye na akapata Urais !! Lakini unadhani […]

The post Kwenye stori za utani wa Rais Magufuli na watu wake, cheki alivyoukataa Urais enzi hizo.. (+Video) appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

usafiri enzi hizo....

 Tiketi na bei ya nauli za jiji la Dar es salaam enzi hizo. Wenye data tunaomba kumbukumbu zenu. Mjadala ruksa mradi usichafue hali ya hewa....

 

11 years ago

Michuzi

kutoka maktaba: usafiri mkuu enzi hizo

Sidhani kama vijana wa umri chini ya miaka 37 watajua hili, ila kwa wenye umri zaidi ya huo watakumbuka mabasi ya East African Railways maarufu kama mabasi ya 'Relwe' ndiyo yaliyokuwa kinara wa usafiri ini na Afrika Mashariki ya Kenya, Uganda na Tanzania kabla ya kuvunjika  kwa jumuiya hiyo mara ya kwanza mwaka 1977. Kabla ya hapo nchi hizo zilikuwa na shirika moja la ndege, meli, usafiri wa barabara na reli.

 

10 years ago

Michuzi

kutoka maktaba: Underline a.k.a Sunderland SC enzi hizo....

Naam Underline hao! ( a.k.a Sunderland Sports Club.) Kisukari  ,Durban, Kimimbi, Emmanuel 'Full-up'Arthur Mambeta,Gilbert Mahinya, Ali Kajo, Kibunzi VC10/auYussuf Salum Maleta. Waliochuchumaa Hatibu ,Kilomoni,Choteka,Mbaraka Salum Magembe, Liston na Haji Lesso.  

 

10 years ago

Michuzi

kutoka maktaba: Dream team ya radio one na ITV enzi hizo

Ankal hebu rusha hiki kikosi kabambe cha Radio One na ITV enzi hizo. Je unawakumbuka na ilikuwa lini hii taswira? Msaada tutani kwa wenye data tafadhali... 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani