Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NGEJELA: NIMEPATA FUNDISHO KUWANIA URAIS

 MBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja akibadilisha mawazo na wabunge wenzake, Ezekiel Maige (Msalala) na Dk. Dalaly Peter Kafumu (Igunga), wakati aliporejesha fomu kwenye ofisi za Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma.MBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja, akirejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia CCM kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi, kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho mjini Dodoma, jana.
Na Mwandishi Maalum, Dodoma
MBUNGE...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nimeshawishika kuwania urais

Hatimaye mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amesema “ameshawishika” na kuweka bayana kuwa atachukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

11 years ago

BBCSwahili

Al-Sisi kuwania Urais Misri

Viongozi wa kijeshi nchini Misri wamekubaliana Mkuu wa jeshi ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi Abdel Fattah Al Sisi kuwania Urais katika Uchaguzi ujao

 

10 years ago

Michuzi

MWIGULU ACHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS


Mh.Mwigulu akiwasili makao makuu ya CHAMA CHA MAPINDUZI mjini Dodoma kwaajili ya Kuchukua Fomu ya Kuwania Urais wa Tanzania mwaka 2015.

Mh:Mwigulu akisaini kitabu cha Wagombea Urais kupitia chama cha Mapinduzi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

BBCSwahili

Bility azuiwa kuwania urais Fifa

Raia wa Liberia Musa Bility ameondolewa kutoka kwenye kinyang’anyiro cha kuwania urais wa Fifa kwa sababu ya maadili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zico Coimbra kuwania urais FIFA

Huku kukiwa bado hali si shwari ndani ya FIFA, mchezaji wa zamani wa Brazil Zico Coimbra atagombea urais wa shirikisho hilo

 

9 years ago

BBCSwahili

Vigogo saba kuwania urais Fifa

Majina ya viongozi saba watakaowania urais wa shirikisho la kandanda duniani Fifa yametangazwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Magufuli ajaza fomu za kuwania urais

Mgombea wa Urais kupitia Chama tawala CCM John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kiti hicho, akiambatana na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani