Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bility azuiwa kuwania urais Fifa

Raia wa Liberia Musa Bility ameondolewa kutoka kwenye kinyang’anyiro cha kuwania urais wa Fifa kwa sababu ya maadili.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Bility akata rufaa ya kumzuia kuwania urais FIFA

Musa BilityZURICH, USWIS

RAIS wa Shirikisho la Soka la Liberia, Musa Bility, amekata rufaa kwenye mahakama ya kutatua mizozo ya michezo (Cas), kwa kumzuia kugombea urais wa Shirikisho la Soka Duniani, Fifa.

Rais huyo alizuiwa kuwania kugombea nafasi hiyo na kamati ya uchaguzi ya Fifa kwa madai kwamba hakupita vigezo vya maadili.

Hata hivyo, Bility ameishangaa kamati hiyo kwa maelezo yake ambapo amedai kuwa haijatenda haki, ila kutakuwa na mipango ambayo imepangwa ili kutaka kumharibia.

“Uamuzi wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Bility akata rufaa uamuzi wa kumzuia kuwania Fifa

Mkuu wa shirikisho la soka la Liberia, Musa Bility, amekata rufaa uamuzi wa kuzuia kuwania uchaguzi wa urais Fifa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Bozize azuiwa kuwania urais CAR

Mahakama ya kikatiba nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imemzuia Rais wa zamani François Bozizé kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu ujao.

 

9 years ago

Bongo5

FIFA yawaondoa Musa Bility na Michel Platini katika kinyang’anyiro cha Urais

platini-1

Kamati ya uchaguzi ya shirikisho la soka duniani FIFA, imeondoa majina mawili katika kinyang’anyiro cha Urais.

bility-11

Mmoja wa waliondolewa ni Musa Bility ambaye ni Rais wa chama cha soka cha nchini Liberia. Kamati hiyo imemuondoa Bility kwa sababu za uadilifu baada ya kumchunguza na kujiridhisha kuwa hana sifa ya kubaki kuwa mgombea wa Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika February 26 mwaka huu.

Mwingine aliyeondolewa katika kinyang’anyiro hicho ni Rais wa UEFA Michel Platini.

platini-1

Platini...

 

9 years ago

BBCSwahili

Vigogo saba kuwania urais Fifa

Majina ya viongozi saba watakaowania urais wa shirikisho la kandanda duniani Fifa yametangazwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezaji wa zamani kuwania urais Fifa

Mchezaji wa zamani wa Ufaransa,David Ginola kupambana na Sepp Blatter urais Fifa

 

10 years ago

BBCSwahili

Zico Coimbra kuwania urais FIFA

Huku kukiwa bado hali si shwari ndani ya FIFA, mchezaji wa zamani wa Brazil Zico Coimbra atagombea urais wa shirikisho hilo

 

9 years ago

BBCSwahili

Gianni Infantino kuwania urais Fifa

Gianni Infantino amejitosa kwenye kinyanganyiro cha uraid Fifa

 

10 years ago

BBCSwahili

Michel Platini kuwania urais wa FIFA

Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Michel Platini ametangaza azma yake ya kuwania urais wa shirikisho la soka duniani FIFA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani