Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli ajaza fomu za kuwania urais

Mgombea wa Urais kupitia Chama tawala CCM John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kiti hicho, akiambatana na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL, LOWASSA, MAGUFULI W ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS

 Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, ambaye tayari ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, Edward Lowassa, akionyesha koba lenye fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia CCM, baada ya kukabidhiwa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma, Alhamisi Juni 4, 2015. Kulia ni kewe Mama Regina Lowassa. (Picha na Khalfan Said)  Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akionyesha mkopo wenye fomu za kuwania kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Dk. John Pombe Magufuli akisaini...

 

5 years ago

CCM Blog

BREAKING NEWSSSSSS: MWENYEKITI WA CCM, RAIS MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUWANIA URAIS

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk. John Magufuli akipokea fomu kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally za kuomba kuwania urais kupitia chama hicho. Tukio hilo limefanyika leo asubuhi MMakao Makuu ya CCM, Jijini Dodoma

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JIJINI DAR LEO,VIFIJO NA NDEREMO VYATAWALA

  

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt  John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Suluhu Hassan wakionesha fomu zao za kuomba kugombea urais mara baada ya kuchukua kwenye ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dar es salaam leo, ambapo walisindikizwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM na wananchi kwa ujumla wakiwa wamepanda kwenye gari maalum. Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli na...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Lowassa achukua fomu za kuwania urais

Pilika pilika za uchaguzi nchini Tanzania zimeendelea huku Edward Lowassa, ambaye ni mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Chadema na kuungwa mkono na umoja wa vyama vya upinzani nchini humo, UKAWA, akifika ofisi ya Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu ya ur

 

10 years ago

Michuzi

MWIGULU ACHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS


Mh.Mwigulu akiwasili makao makuu ya CHAMA CHA MAPINDUZI mjini Dodoma kwaajili ya Kuchukua Fomu ya Kuwania Urais wa Tanzania mwaka 2015.

Mh:Mwigulu akisaini kitabu cha Wagombea Urais kupitia chama cha Mapinduzi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA KUWANIA URAIS CHADEMA

Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Profesa  Abdallah Safari (kushoto)  akipokea fomu kutoka kwa Waziri Mkuu wa Zamani,  Edward Lowassa. Ester Bulaya (wa kwanza kushoto waliovaa fulana) akiwa ukumbini kumshuhudia Edward Lowassa akirudisha fomu ya kugombea urais ndani ya chama. PICHA ZAIDI BONYEZA HAPA ===>…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani