USIKOZE SEHEMU YA KWANZA YA SIMULIZI "NIMEPATA NJIA"
![](http://3.bp.blogspot.com/-9HbKdnoM5qI/VNCd-RgmXdI/AAAAAAAAK3w/04vF3CaVpos/s72-c/NIME.png)
Ulikuwa ni usiku wa manane majira ya saa nane na nusu, ambapo Mzee Jengo alikuwa amepumzika kitandani akiwa na mtoto wake wa kiume ambaye alikuwa anaitwa Rony. Alikuwa ni kijana mdogo mwenye umri kati ya miaka nane au tisa, Usiku huo hali ya Mzee Jengo ilikuwa si nzuri kwani alianza kujisikia vibaya ghafla kiasi kwamba hata alipojaribu kunyanyuka alishindwa. Kutokana na maumivu makali aliyokuwa akiyasikia aliamua kumuamsha mtoto wake, taratibu alinyoosha mkono na kuanza kumvuta Ronyhuku...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi04 Feb
9 years ago
Michuzi11 Sep
MAFANIKIO SIYO AJALI SEHEMU YA KWANZA.
Wengi wamekuwa wakijidanganya kwamba ipo siku moja watafanikiwa (watatoboa)lakini hawana mpango wowote wa kuwawezesha kufanikiwa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-36kC68Vte_A/VTRl2fja3LI/AAAAAAAAIO4/vnEXkBzTGxQ/s72-c/Alpha%2Bna%2BLinda.jpg)
Mahojiano na Linda Bezuidenhout (LB) sehemu ya kwanza
![](http://3.bp.blogspot.com/-36kC68Vte_A/VTRl2fja3LI/AAAAAAAAIO4/vnEXkBzTGxQ/s640/Alpha%2Bna%2BLinda.jpg)
10 years ago
Michuzi05 Nov
9 years ago
Michuzi01 Oct
5 years ago
Michuzi12 Apr
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/waKrMMwGXhE/default.jpg)
Angalia Video za maswali na majibu za mkutano wa Mhe. Jussa, Sehemu ya kwanza hadi ya Tisa
Kwa video zaidi bofya soma zaidi
11 years ago
Mwananchi07 Mar
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Profesa Kaisi: Daktari wa kwanza kuzalisha kwa njia ya upandikizaji upandikizaji