Mahojiano na Linda Bezuidenhout (LB) sehemu ya kwanza
Karibu katika sehemu ya kwanza ya mahojiano na mbunifu wa kimataifa wa mitindo mwenye asili ya Tanzania, Linda Bezuidenhout ameeleza mengi ikiwa ni pamoja na historia yake kwa ufupi, safari yake kwenda nje ya nchi, alivyorejea na kuanza harakati zake za mitindo, nani alimfanya ashawishike na fani hii? Maisha yake kimahusiano je? Familia yake sasa na inavyokabiliana na kazi zake? KARIBU
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMahojiano na Linda Bezuidenhout (LB) Pt I
Karibu katika sehemu ya kwanza ya mahojiano na mbunifu wa kimataifa wa mitindo mwenye asili ya Tanzania, Linda Bezuidenhout.
Ameeleza mengi ikiwa ni pamoja na historia yake kwa ufupi, safari yake kwenda nje ya nchi, alivyorejea na kuanza harakati zake za mitindo.
Nani alimfanya ashawishike na fani hii?
Maisha yake kimahusiano je?
Familia yake sasa na inavyokabiliana na kazi zake?
KARIBU

VijimamboMahojiano na mbunifu mavazi Linda Bezuidenhout (LB) Pt II
Karibu katika sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano na mbunifu wa kimataifa wa mitindo mwenye asili ya Tanzania, Linda Bezuidenhout
Ameeleza mengi kuhusu kazi yake na familia kwa ujumla.
Anavyokabiliana na kazi zake, changamoto za afanyalo, tuzo alizopata nk
Na pia, kaeleza kuhusu mtazamo wake juu ya waTanzania (hasa wa Diaspora) na ushauri kwa kinamama wote

VijimamboPt II ya mahojiano na Linda Bezuidenhout kesho....USIKOSE
Kesho Jumatatu tutakuletea sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano na mwanamitindo mbunifu Linda Bezuidenhout (LB) kutoka Atlanta, Georgia.
Ameeleza mengi kuhusu kazi yake na familia kwa ujumla.
Anavyokabiliana na kazi zake, changamoto za afanyalo, tuzo alizopata nk
Na pia, kaeleza kuhusu mtazamo wake juu ya waTanzania (hasa wa Diaspora) na ushauri kwa kinamama wote
USIKOSE mahojiano yaliyofanywa na mwakilishi wa Vijimambo na Kwanza production Michigan Alpha Igogo ambae alitaka kujua...

5 years ago
Michuzi12 Apr
10 years ago
VijimamboTHE EXTRAORDINAIRE DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT
THE EXTRAORDINAIRE DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT AMEFUNGA MWAKA KWENYE HOTEL YA RITZ CARLTON YA ATLANTA KWENYE TAFRIJA YA US-NIGERIA Community Development & Investment Forum Dinner Jumatano iliopita Dec 10, 2014, ilioandaliwa na AFRICAN LEADERSHIP MAGAZINE.
Click soma zaidi for more photos
Click soma zaidi for more photos
10 years ago
VijimamboAWARD WINNING DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT
AWARD WINNING DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT AKIWA KWENYE SUIT YAKE WAKATI WA MAANDALIZ YA FASHION EXPERIENCE ALIOIFANYA KWENYE AWARDS CEREMONY YA AFRICAN LEADERSHIP MAGAZINE JIJINI ATLANTA JUMATANO ILIOPITA. MORE PHOTOS TO COME …
10 years ago
VijimamboAward winning Fashion Designer-Linda Bezuidenhout
In the picture is our very own awarding winning Fashion Designer; Linda Bezuidenhout, and International model Renee Knorr at Fashion Experience event that was held at Fern bank museum, on March 15, 2015, Atlanta, Georgia. On that night model Renee Knorr worn two different LB's couture dresses, and this (the one in the picture) is one of them, indeed, even Linda is rocking one of her own designs. Linda Bezuidenhount Apparel (LB) was one of the sponsors of the event. Congratulations LB, job...
10 years ago
VijimamboLINDA BEZUIDENHOUT INVITED TO PARTICIPATE IN THE 16th ANNUAL OSCAR VIEWING PARTY
Press Release
Beverly Hills, CA February 22, 2014
FASHION DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT INVITED TO PARTICIPATE IN THE 16th ANNUAL OSCAR VIEWING PARTY AND AWARDS GALA TO BENEFIT CHILDREN UNITING NATIONS IN BEVERLY HILLS , CA
The Oscar viewing party was held at the historic Warner Brothers Mansion which also the home Daphna Edwards Ziman who is the founder of Children Uniting Nations.
Daphna Ziman launched CUN in 1999 with Honorary Chair and former First Lady and Secretary of State, Hillary Rodham...

VijimamboDESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT's SPECIAL APPEARANCE AT AFRICAN LEADERSHIP MAGAZINE AWARDS CEREMONY
Mbunifu wa mitindo Mtanzania anaekimbiza nchini Marekani Linda Bezuidenhout akiingia na kwa mbwembwe na mlimbwende wake wa mitindo usiku wa Ijumaa Oct 10, 2014 kwenye usiku wa African Leadership uliofanyika Atlanta , Georgia nchini Marekani. Mlimbwende wa mitindo akipita kwa madaha kuonyesha vazi lililobunia na mbunifu wa mitindo Mtanzania anayeishi jimbo la Georgia Linda Bezuidenhout ndani ya usiku wa African Leaders uliofanyika siku ya Ijumaa Oct 10, 2014 na LB kupata nafasi ya kuonyesha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania