Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAFANIKIO SIYO AJALI SEHEMU YA KWANZA.

WATU wengi wanafikiri mafanikio ni kitu ambacho kinatokea tuu kama ajali lakini mafanikio sio ajali wala sio bahati mafanikio ni mipango dhahiri ambayo inapangwa na mtu anayeyataka na ayenuia kutoka katika vilindi vya moyoni mwake kwamba anataka kutoka katika sehemu moja kwenye maisha ambayo inakuwa ni duni na kwenda sehemu nyingine ambayo ni ya hadhi nzuri.
Wengi wamekuwa wakijidanganya kwamba ipo siku moja watafanikiwa (watatoboa)lakini hawana mpango wowote wa kuwawezesha kufanikiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SEHEMU YA PILI YA MAFANIKIO SIYO AJALI.

UNAJUA watu wengi hawajawahi kujiuliza maswali kama haya hapa... Kwa nini Mungu aliumba mito? Kwa nini Mungu aliumba Miti? Kwa nini Mungu aliumba chuma? Mungu hakukupa vitu vilivyotimia kwa sababu anajua una asili ya uumbaji ndani yako maana umeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, hivyo basi hakukupa vitu vilivyokamilika ila alikupa vitu ambavyo vitakupelekea kutengeneza vitu vingine ili uendeleze ule uumbaji ambao yeye aliuanzisha ,tunajua kabisa kwamba Mungu ni asili ya uumbaji.
Nataka...

 

10 years ago

Michuzi

Mahojiano na Linda Bezuidenhout (LB) sehemu ya kwanza

Karibu katika sehemu ya kwanza ya mahojiano na mbunifu wa kimataifa wa mitindo mwenye asili ya Tanzania, Linda Bezuidenhout ameeleza mengi ikiwa ni pamoja na historia yake kwa ufupi, safari yake kwenda nje ya nchi, alivyorejea na kuanza harakati zake za mitindo, nani alimfanya ashawishike na fani hii? Maisha yake kimahusiano je? Familia yake sasa na inavyokabiliana na kazi zake? KARIBU

 

10 years ago

Michuzi

USIKOZE SEHEMU YA KWANZA YA SIMULIZI "NIMEPATA NJIA"

Ulikuwa ni usiku wa manane majira ya saa nane na nusu, ambapo Mzee Jengo alikuwa amepumzika kitandani akiwa na mtoto wake wa kiume ambaye alikuwa anaitwa Rony. Alikuwa ni kijana mdogo mwenye umri  kati ya miaka nane au tisa, Usiku huo hali ya Mzee Jengo ilikuwa si nzuri kwani alianza kujisikia vibaya ghafla kiasi kwamba hata alipojaribu kunyanyuka alishindwa. Kutokana na maumivu makali aliyokuwa akiyasikia aliamua kumuamsha mtoto wake, taratibu alinyoosha mkono na kuanza kumvuta Ronyhuku...

 

10 years ago

GPL

MASTAA: WATOTO KWANZA, NDOA SIYO ISHU

Stori:  Gladness Mallya na Mayasa Mariwata/Risasi Mchanganyiko
WAKATI mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao wamefunguka kuwa wanahitaji zaidi kupata uzao kuliko kuishi maisha ya kuolewa. Staa wa filamu wa filamuBongo, Anti Lulu akipozi. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, walisema suala la ndoa ni majaaliwa na si...

 

9 years ago

GPL

NDOA SIYO MWISHO WA MATATIZO, MCHUNGUZE KWANZA

Namshukuru Mungu kuona nina afya njema. Kabla sijaongea mengi leo nimekuja na mada hii ili kuwakumbusha wasichana wanaokimbilia ndoa halafu hawafiki mbali na ndoa zao wanaishia kuzivunja tena kwa mikiki na visasi. Nina visa vya kijana mmoja ambaye alinisimulia kuhusiana na mkasa wake wa mapenzi na kusema kuwa yeye alikuwa si mtu wa mademu sana na alifanya hivyo kutokana na malezi aliyolelewa na wazazi wake. “Sikuwahi kupenda...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mastaa wa Kike: Watoto Kwanza, Ndoa Siyo Ishu

WAKATI mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao wamefunguka kuwa wanahitaji zaidi kupata uzao kuliko kuishi maisha ya kuolewa.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, walisema suala la ndoa ni majaaliwa na si jambo unaloweza kupanga, kwa vile mwenye uwezo wa kufanya hayo yote ni Mungu, kama ilivyo katika kuamua kuzaa au la.

Coletha Raymond ‘Koletha’, alisema katika maisha ya Kitanzania,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani