Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEHEMU YA PILI YA MAFANIKIO SIYO AJALI.

UNAJUA watu wengi hawajawahi kujiuliza maswali kama haya hapa... Kwa nini Mungu aliumba mito? Kwa nini Mungu aliumba Miti? Kwa nini Mungu aliumba chuma? Mungu hakukupa vitu vilivyotimia kwa sababu anajua una asili ya uumbaji ndani yako maana umeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, hivyo basi hakukupa vitu vilivyokamilika ila alikupa vitu ambavyo vitakupelekea kutengeneza vitu vingine ili uendeleze ule uumbaji ambao yeye aliuanzisha ,tunajua kabisa kwamba Mungu ni asili ya uumbaji.
Nataka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAFANIKIO SIYO AJALI SEHEMU YA KWANZA.

WATU wengi wanafikiri mafanikio ni kitu ambacho kinatokea tuu kama ajali lakini mafanikio sio ajali wala sio bahati mafanikio ni mipango dhahiri ambayo inapangwa na mtu anayeyataka na ayenuia kutoka katika vilindi vya moyoni mwake kwamba anataka kutoka katika sehemu moja kwenye maisha ambayo inakuwa ni duni na kwenda sehemu nyingine ambayo ni ya hadhi nzuri.
Wengi wamekuwa wakijidanganya kwamba ipo siku moja watafanikiwa (watatoboa)lakini hawana mpango wowote wa kuwawezesha kufanikiwa...

 

11 years ago

Michuzi

Ziara ya JK London sehemu ya Pili

Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza ukishirikiana na Urban Pulse Creative Media wanakuletea ziara ya Raisi Jakaya Kikwete London Tarehe 30.3.14 kukutana na watanzania waishio uingereza. Hii ni sehemu ya Pili

 

11 years ago

Ykileo

KESHO YA UHALIFU MTANDAO SEHEMU YA PILI - 2

Katika sehemu ya kwanza ya habari hii inayosomeka "HAPA"  na pia ilipata kusikika kwenye kipindi cha redio cha Teknohama kama kinavyosikika "HAPA" nilizungumzia changamoto za uhalifu mtandao hii leo na kugusia aina mbili za awali za uhalifu mtandao unaotegemea kuongeza kasi hapo kesho. 
Aidha katika sehemu hii ya pili nitajikita katika mifano zaidi ya Uhalifu mtandao hapo kesho , kugusia mapambano yanayoendelea katika kukabiliana na uhalifu mtandao kwa mifano nikianzia na huu unaosomeka...

 

10 years ago

Vijimambo

Tazama sehemu ya pili ya kipindi cha ‘UBISHI’


Katika mwendelezo wa kipindi cha ‘Ubishi - Komaa Upate Pesa’, wiki hii Bwana Costantine Magavilla anakuletea sehemu ya pili iitwayo ‘Kazi ni Tabia’. Kazi ni gumzo kwa vijana wengi wa mjini ila ni kitu gani kinacho wachochea vijana kufanya kazi haswa na je madhara yake ni nini kwao. Pata majibu kwa kutembelea www.magavilla.com

Usikose kufuatilia vipindi hivi vinavyolenga kuelimisha, kukuhamasisha utazame upya maisha yako upateujasiri wa kubadili fikra na kufanya yako kila wiki siku ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani