Ngassa: Nimepata timu Qatar
Mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Wilbert Molandi na Hans Mloli BAADA ya kutoa kauli kuwa anaondoka Yanga, hatimaye kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mrisho Ngassa, amefunguka juu ya kule anapoelekea baada ya kuondoka klabuni hapo. Ngassa ameliambia gazeti hili katika mahojiano maalum kuwa, kuna timu tatu za nchi tatu tofauti ambazo anafanya nazo mazungumzo na muda wowote anaweza kumalizana na mojawapo, kisha atataja rasmi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV24 Aug
Timu ya Ngassa yapata kipigo cha mbwa mwizi cha 4-0
TIMU ya Free State Stars yenye Mtanzania, Mrisho Khalfan Ngassa imefungwa mabao 4-0 jana na Kaizer Chiefs katika mchezo wa Ligi Kuu ya ABSA Afrika Kusini Uwanja wa FNB, Johannesburg.
Huo unakuwa mchezo wa pili Free State kufungwa, baada ya wiki mbili zilizopita kufungwa 1-0 nyumbani na Mpumalanga Blac Aces.
Katika mchezo wa jana ambao Ngassa hakucheza, mabao ya Kaizer Chiefs yalifungwa na Siboniso Gaxa dakika ya 34,...
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Pinda akutana na kiongozi wa kampuni ya gesi ya Qatar na kutembelea eneo la ujenzi wa bandari mpya ya Qatar.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw. Otty Msuku ambaye ni Mtanzania , Mtalaamu wa upimaji ardhi katika mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa bandari hiyo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. Katikati ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Mradi huo, Don Morrison. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar, Bw. Yusuf...
10 years ago
BBCSwahili21 May
Qatar 2022: Qatar yapinga madai ya Amnesty
10 years ago
MichuziNGEJELA: NIMEPATA FUNDISHO KUWANIA URAIS
Na Mwandishi Maalum, Dodoma
MBUNGE...
10 years ago
MichuziUSIKOZE SEHEMU YA KWANZA YA SIMULIZI "NIMEPATA NJIA"
10 years ago
GPLMLELA: NIMEPATA MTOTO KWA BAHATI MBAYA!
10 years ago
Bongo Movies06 Dec
BATULI: Mtunisi Hana Mvuto Kwangu, Nimepata Mzungu
Msanii ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwigizaji Nice Mohammed ‘ Mtunis ’ aitwaye batuli, amemchana zilipendwa wake huyo kwa kumwambia hana mvuto!
Kuonesha msisitizo, Batuli alisema kwa Mtunis ilikuwa ni kama daraja tu , alishapita hivyo hana mpango naye tena kwani tayari amepata mchumba wa Kizungu , raia wa nchi moja barani Afrika, ambaye muda wowote atamtangaza kuwa mume wake .
Alisema anaamini kwamba si kila jambo lililowahi kumtokea lina maana kwake kwani hata kutoka na Mtunis ilikuwa ni...
11 years ago
Bongo511 Jul
Ali Kiba:Nawasaidia wasanii wachanga kutokana na mateso ambayo nimepata
5 years ago
MichuziTIMU YA VIJANA YA SIMBA YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2- 0 DHIDI YA TIMU YA YANGA
TIMU ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 wa Simba wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao Yanga katika mchezo wa utangulizi uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo wa timu hizo mbili ambao ulikuwa wa utangulizi kabla ya mechi ya timu ya Simba na Yanga wanaoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mtangane ulianza saa nane mchana ambapo vijana hao kwa kila timu walionesha umahiri wao wa kusakata kabumbu licha ya umri walionao. Timu ya...