Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mlegezo ‘wamtoa shoo’

Kijana mmoja alikuwa amevalia suruali ya ‘jeans’ na shati. Lakini suruali yake alivalia chini ya makalio kiasi cha kuonyesha nusu ya nguo yake ya ndani. Wakati huo alikuwa anatembea kuelekea kituoa cha basi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

YATIMA WAMTOA MACHOZI BATULI

Deogratius Mongela na Shani Ramadhani MWIGIZAJI Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amejikuta akiangua machozi baada ya kuwaona watoto yatima wa Kituo cha Sinza jijini Dar. Mwigizaji Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita wakati Batuli, wanafamilia na mastaa wengine walipokwenda katika kituo hicho kutoa misaada mbalimbali ndipo aliposhindwa kujizuia baada na kuangua machozi.
...

 

10 years ago

Mwananchi

Albino wamtoa chozi Kikwete

Rais Jakaya Kikwete ametokwa na machozi wakati akisikiliza wimbo ya masikitiko ya watoto wenye ulemavu wa ngozi (albino), na akaeleza kuwa ni upumbavu kuamini kuwa viungo vyao vinaleta utajiri.

 

11 years ago

TheCitizen

‘Mlegezo’ and mini-skirt are out; so why the fuss?

Something causing laughter but not being a laughing matter is a curious combination. Such was the case when, a few years ago, a fellow journalist narrated to a group of colleagues, a drama he witnessed at the Kibaha Bus Station.

 

11 years ago

Habarileo

Shule kutimua watumia vipodozi, wavaa mlegezo

Askofu Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria,  Emmanuel MakalaSHULE ya Sekondari Mwadui iliyopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, imetangaza kufukuza wanafunzi wote wanaotumia vipodozi, wanaovaa sketi fupi, milegezo na wanaotumia simu za mkononi shuleni.

 

10 years ago

GPL

MLEGEZO WAMPONZA CHID BENZ ATAITIWA MAHAKAMANI, POLISI WATOKA NAYE MKUKU

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah
KIBANO! Kuonesha wapo ‘serious’ na mavazi, polisi walimtaiti staa wa Bongo Fleva, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ na kumtaka akavae vizuri kisha arejee mahakamani. Tukio hilo lilitokea juzi, Jumanne katika Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, wakati staa huyo alipokuwa amefikishwa kusomewa mashtaka yake ya kukutwa na madawa ya kulevya. Staa wa Bongo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani