BATULI ACHEZEA SHARUBU ZA KAJALA
![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7Nai2n49Ck3HYeSnPK7pBzufJt6JjI3Ah1qyi3vFoakwrCGVql5P3nKFNdKjKqHIYTSIBh2TY*FxCC4PzDRgcvP-0/batu.jpg)
Imelda Mtema STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ameonekana kuchezea ‘sharubu’ za Kajala baada kuweka picha ya kiazi kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram kitu ambacho kimeonekana ni kumkejeli staa mwenzake huyo kutokana na Wema Sepetu kumuita kiazi. Staa wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’. Akichezesha taya na Amani baada ya kubanwa kwa nini aliweka picha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Simba yavutwa sharubu
10 years ago
Mtanzania26 Jan
Azam yaivuta sharubu Simba
NA WAANDISHI WETU
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam ilivuta sharubu za Simba baada ya kuilazimisha sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa ligi uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Timu hizo ziliingia uwanjani zikiwa na kumbukumbu ya ushindi kwenye mechi zilizopita, Simba iliichapa Ndanda mabao 2-0, huku Azam ikiichabanga Kagera Sugar mabao 3-1.
Licha ya Simba kupata bao la mapema dakika ya 18 lililofungwa na Emmanuel Okwi, aliyetumia makosa ya kipa wa Azam,...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-asdGjl0oqc4/VCbQYK2zoXI/AAAAAAABJzM/5e82NxEHwPw/s72-c/s4.jpg)
SIMBA YAVUTWA SHARUBU NA POLISI MOROGORO
![](http://2.bp.blogspot.com/-asdGjl0oqc4/VCbQYK2zoXI/AAAAAAABJzM/5e82NxEHwPw/s1600/s4.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lML_MAwTewA/VCbQcM2Q8kI/AAAAAAABJzk/ziUNO3cuYrM/s1600/s7.jpg)
11 years ago
GPLMNYAMA ASHIKWA SHARUBU JIJINI MBEYA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRASHiyYvlEFM8kpoh1kd0BQbmHWHGhsudsABNgHDpDM3D1oQo2tvEQheQRPfnh6KbZDlDNX7TXG*k3-ykiVQs-wd/vai.jpg?width=650)
VAI ACHEZEA KICHAPO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PK5dk0PN1DUUbERqne81EHmMc2hCgGnEuRZ57hrxwbdsGkaI-D-04ffhjR5lZ88fS40D3HoJB*8Euj-AHnKF0Y1/lulu.jpg?width=650)
AUNTY LULU ACHEZEA KICHAPO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bp6VsFxYvcJofAAORbv-pCJ-mpuZu7s88WAweP2tp3RwZ0jb9zfsohuEg7Aa9u*NUDYXDrP8K*80hFpxZE-vrDyhQSIaG3ua/BACKJUMAMOSI.gif?width=650)
MKE AFUMANIA, ACHEZEA KICHAPO!
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Cheka achezea kichapo Urusi
BONDIA Francis Cheka ‘SMG’ juzi alichezea kichapo kwa kupigwa kwa ‘KO’ raundi ya sita kutoka kwa bondia Fedor Chudinov raia wa Urusi pambano lililofanyika katika ukumbi wa Dynamo Palace of Sports, mjini Krylatskoye,...