Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yavutwa sharubu

Makosa ya mabeki wa Simba yaliyofanywa dakika za majeruhi, yaliipa sare ya kwanza msimu huu baada ya kufungana 2-2 na Coastal Union ya Tanga katika mechi ya kupendeza iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SIMBA YAVUTWA SHARUBU NA POLISI MOROGORO

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akishangilia bao aliloifungia timu yake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Polisi ya Morogoro uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam siku ya Jumamosi Sept 27, 2014. Kushoto ni Ramadhani Singano 'Messi'Golikipa wa Polisi Morogoro, Abdul Ibad akijaribu kuokoa bila mafanikio kiki iliyopigwa na mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa...

 

10 years ago

Mtanzania

Azam yaivuta sharubu Simba

Pg 32NA WAANDISHI WETU
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam ilivuta sharubu za Simba baada ya kuilazimisha sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa ligi uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.

Timu hizo ziliingia uwanjani zikiwa na kumbukumbu ya ushindi kwenye mechi zilizopita, Simba iliichapa Ndanda mabao 2-0, huku Azam ikiichabanga Kagera Sugar mabao 3-1.

Licha ya Simba kupata bao la mapema dakika ya 18 lililofungwa na Emmanuel Okwi, aliyetumia makosa ya kipa wa Azam,...

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA YAVUTWA SHATI NA MTIBWA SUGAR,YATOKA SARE YA BAO 1-1 MJINI MOROGORO LEO

Kikosi cha Timu ya Soka ya Simba   Kikosi cha Timu ya Soka ya Mtibwa  Waamuzi wa Mchezo wa Leo wakiwa na Manaodha wa Timu Zote Mbili.  Wachezaji wa Timu ya Soka ya Mtibwa Sugar Wkishanilia Goli Lililofungwa na Musa Mgosi  Katika Dakika ya 18 ya Mchezo.  Rashid Baba Ubaya Akitafuta Mbinu za Kumtoka Beki wa Mtibwa Sugar Said Mkopi.  Kipa wa Mtibwa Hasani  Sharifu    Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo huo wakishangilia muda wote wa Mchezo  Golikipa wa Timu ya Mtibwa Sugar Hussein...

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA YASHIKWA SHARUBU NA STAND UNITED TAIFA HABARI NDIYO HIYO KWA WALE WANAZI WA MSIMBAZI HII INAWABAMBAJE.

Kiungo wa Simba SC, Shaban Kisiga (kushoto) akimtoka beki wa Stand United, Reyna Mgungira.SIMBA SC  Inaendelea kuchechemea licha ya majigambo mengi ya kuwa na kikosi bora msimu huu lakini mambo ni magumu dagaa kammeza paka  ndiyo kilichotokea na Stand United ya Shinyanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Hadi mapumziko, tayari timu hizo zilikuwa zimekwishafungana bao 1-1, Simba SC wakitangulia kupitia kwa Shaban Kisiga dakika ya 35 kabla ya Stand United kusawazisha dakika 10 baadaye.
Wafungaji ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga yavutwa, Azam moto

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, jana walishindwa kufurukuta mbele ya Mtibwa Sugar ya Turiani, Morogoro baada ya kutoka nayo sare ya bila kufungana katika mechi kali iliyochezwa Uwanja wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal kileleni, Liverpool yavutwa mkia

Klabu ya soka ya Arsenal yakaa kileleni mwa ligi ya England baada ya kuichapa timu inayoburuza mkia ya Aston Villa bao 2-0 huko Villa Park .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani