Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arsenal kileleni, Liverpool yavutwa mkia

Klabu ya soka ya Arsenal yakaa kileleni mwa ligi ya England baada ya kuichapa timu inayoburuza mkia ya Aston Villa bao 2-0 huko Villa Park .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ARSENAL, CHELSEA NGOMA DROO, LIVERPOOL YAENDELEA KUKAA KILELENI

Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud (kulia) akipiga mpira mbele ya beki wa Chelsea, Gary Cahill. Frank Lampard wa Chelsea (kushoto) akikwaana na Mesut Ozil wa Arsenal wakati wa mchezo wa leo uliomalizika 0-0.…

 

9 years ago

BBCSwahili

EPL: Arsenal yapaa kileleni

Washika bunduki wa London, Arsenal wamekaa kileleni mwa ligi ya England kwa pointi 39 baada ya kuichapa Bournemouth kwa mabao 2-0.

 

11 years ago

BBCSwahili

Liverpool yarejea kileleni,Uingereza

Liverpool iliititima Tottenham 4-0 Anfield na kurejea kileleni mwa jedwali la ligi ya premia.

 

11 years ago

GPL

ARSENAL YAFUNGA MWAKA 2013 KILELENI

Olivier Giroud akishangilia bao pekee aliloifungia Arsenal na kukwea kileleni. Cheick Tiote wa Newcastle (kulia) akiwania mpira na Wilshere wa Arsenal.
Olivier Giroud (katikati) akiwatoka Tiote (kushoto) na Mike Williamson wa…

 

11 years ago

GPL

ARSENAL YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND

Ligi Kuu ya England mwaka huu ni shughuli pevu.
Jumamosi, Chelsea alikuwa kileleni, Jumapili, Manchester City na sasa ni Arsenal. Kiasi cha pointi mbili tu kinazitenganisha timu tatu za juu. Kikosi cha Arsene Wenger kimerejea kileleni kufuatia ushindi wa mabao 2-1 ugenini usiku wa kuamkia leo dhidi ya Aston Villa. Jack Wilshere alifunga dakika ya 34 na Olivier Giroud akafunga la pili dakika ya 35 Arsenal ikaongoza 2-0 kabla ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal yarejea tena kileleni mwa ligi

Baada ya kuilaza West Ham kwa magoli mawili kwa moja siku ya Alhamisi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani