ARSENAL YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND
![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO69NUWO365Uw5uKqUsIQzIahb-5jr9Qo4J-LmosFq7vZ8FYsoZFfppVYR*rBGJ9rboBCj2-SHWWN9LlbLdDaj0U/arsenal.jpg?width=650)
Ligi Kuu ya England mwaka huu ni shughuli pevu. Jumamosi, Chelsea alikuwa kileleni, Jumapili, Manchester City na sasa ni Arsenal. Kiasi cha pointi mbili tu kinazitenganisha timu tatu za juu. Kikosi cha Arsene Wenger kimerejea kileleni kufuatia ushindi wa mabao 2-1 ugenini usiku wa kuamkia leo dhidi ya Aston Villa. Jack Wilshere alifunga dakika ya 34 na Olivier Giroud akafunga la pili dakika ya 35 Arsenal ikaongoza 2-0 kabla ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili27 Dec
Arsenal yarejea tena kileleni mwa ligi
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9TrLu8BvR3M/Uw4cpu2OfnI/AAAAAAAFP20/xhEzTSt75CA/s72-c/gauu.jpg)
AZAM FC YAREJEA KILELENI LIGI KUU
![](http://2.bp.blogspot.com/-9TrLu8BvR3M/Uw4cpu2OfnI/AAAAAAAFP20/xhEzTSt75CA/s1600/gauu.jpg)
Na Bin Zubeiry
AZAM FC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ashanti United jioni hii Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Ushindi huo unaifanya timu hiyo ya Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na familia yake ifikishe pointi 40 baada ya kucheza mechi 18, ikiishusha nafasi ya pili, Yanga SC yenye pointi 38 ingawa ina mechi moja mkononi.Gaudence Exavery Mwaikimba alifunga kila kipindi dhidi ya timu yake ya zamani, mabao yote...
10 years ago
BBCSwahili26 May
Norwhich City,yarejea ligi kuu England
11 years ago
BBCSwahili31 Dec
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Arsenal yapeta Ligi Kuu England
9 years ago
Mwananchi17 Aug
LIGI KUU ENGLAND: Ukuta Arsenal na safari ndefu ya ubingwa
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-I7IzdgeALC4/VUhIpnzBmVI/AAAAAAAA8T8/Rk-cMrtqGVI/s72-c/A%2B1.jpg)
ARSENAL YAIFUNGA HULL CITY BAO 3-1 KATIKA LIGI KUU ENGLAND
![](http://4.bp.blogspot.com/-I7IzdgeALC4/VUhIpnzBmVI/AAAAAAAA8T8/Rk-cMrtqGVI/s640/A%2B1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ui7-46xYhKs/VUhIqJpLz1I/AAAAAAAA8T0/ckFUsFbCChs/s640/A%2B2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-a4-41Q1KTv4/VUhIqZTXPiI/AAAAAAAA8UA/yCpEisME2RU/s640/A%2B3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-wmIUthkBZz0/VUhIrVSyBGI/AAAAAAAA8UE/Xb3YInv-Sog/s640/A%2B4.jpg)
10 years ago
Mwananchi25 May
LIGI KUU ENGLAND 2015/16: Je, msimu ujao mabingwa ni Arsenal au Manchester United?
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Liverpool yarejea katika ligi kuu Ulaya