AZAM FC YAREJEA KILELENI LIGI KUU
![](http://2.bp.blogspot.com/-9TrLu8BvR3M/Uw4cpu2OfnI/AAAAAAAFP20/xhEzTSt75CA/s72-c/gauu.jpg)
Na Bin Zubeiry
AZAM FC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ashanti United jioni hii Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Ushindi huo unaifanya timu hiyo ya Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na familia yake ifikishe pointi 40 baada ya kucheza mechi 18, ikiishusha nafasi ya pili, Yanga SC yenye pointi 38 ingawa ina mechi moja mkononi.Gaudence Exavery Mwaikimba alifunga kila kipindi dhidi ya timu yake ya zamani, mabao yote...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO69NUWO365Uw5uKqUsIQzIahb-5jr9Qo4J-LmosFq7vZ8FYsoZFfppVYR*rBGJ9rboBCj2-SHWWN9LlbLdDaj0U/arsenal.jpg?width=650)
ARSENAL YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Azam yainyuka Kagera, yakaa kileleni Ligi Kuu
11 years ago
BBCSwahili27 Dec
Arsenal yarejea tena kileleni mwa ligi
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Liverpool yarejea katika ligi kuu Ulaya
10 years ago
BBCSwahili26 May
Norwhich City,yarejea ligi kuu England
11 years ago
BBCSwahili02 Mar
Chelsea yajiimarisha kileleni ligi kuu
10 years ago
MichuziYANGA YAJICHIMBIA KILELENI LIGI KUU TANZANIA BARA
10 years ago
MichuziYANGA YAJICHIMBIA KILELENI MWA LIGI KUU YA VODACOM YA SOKA TANZANIA BARA