Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Norwhich City,yarejea ligi kuu England

Klabu ya soka ya England Norwhich City imefanikiwa kurejea katika ligi kuu ya baada kuifunga Middlesbrough 2-0.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ARSENAL YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND

Ligi Kuu ya England mwaka huu ni shughuli pevu.
Jumamosi, Chelsea alikuwa kileleni, Jumapili, Manchester City na sasa ni Arsenal. Kiasi cha pointi mbili tu kinazitenganisha timu tatu za juu. Kikosi cha Arsene Wenger kimerejea kileleni kufuatia ushindi wa mabao 2-1 ugenini usiku wa kuamkia leo dhidi ya Aston Villa. Jack Wilshere alifunga dakika ya 34 na Olivier Giroud akafunga la pili dakika ya 35 Arsenal ikaongoza 2-0 kabla ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Man City yaongoza ligi kuu England

Klabu ya Manchester City yashika usukani kwenye jedwali la msimamo wa ligi kuu Egland kwa ushindi wa mabao 5-1 dhidi Tottenham.

 

10 years ago

Mwananchi

Chelsea, Manchester City zang’ara Ligi Kuu England

 Chelsea imeendelea kujiimarisha kileleni mwa Ligi Kuu England ikiwa na pointi 32 bila mpinzani baada ya kuilaza West Brom kwa mabao 2-0.

 

10 years ago

Mwananchi

Chelsea, Manchester City ni vita ya ubingwa Ligi Kuu England

Chelsea ina nafasi ya pekee ya kufikisha pointi nane dhidi ya Manchester City leo katika mchezo mgumu wa Ligi Kuu England.

 

10 years ago

Vijimambo

ARSENAL YAIFUNGA HULL CITY BAO 3-1 KATIKA LIGI KUU ENGLAND

Timu ya soka ya Arsenal usiku wa kuamkia leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Hull City katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza. Mlinda mlango wa Hull City, Steve Harper akiwa hana la kufanya zaidi ya kuuangalia mpira ukijaa wavuni.Ikicheza ugenini katika uwanja wa KC, washika bunduki hao wa jiji la London walionyesha kandanda la hali ya juu na kuonyesha ubora wao wa kumiliki mpira hadi mwisho wa mchezo wao.
Mabao mawili toka kwa mshambuliaji wake mwenye kasi Alexis Sanchez...

 

11 years ago

Michuzi

AZAM FC YAREJEA KILELENI LIGI KUU


Na Bin Zubeiry
AZAM FC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ashanti United jioni hii Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Ushindi huo unaifanya timu hiyo ya Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na familia yake ifikishe pointi 40 baada ya kucheza mechi 18, ikiishusha nafasi ya pili, Yanga SC yenye pointi 38 ingawa ina mechi moja mkononi.Gaudence Exavery Mwaikimba alifunga kila kipindi dhidi ya timu yake ya zamani, mabao yote...

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool yarejea katika ligi kuu Ulaya

Baada ya miaka 5 nje Liverpool leo wanawakaribisha timu ya Lugorets Razgrad,ya Bulgaria Anflied.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu England kuendelea

Ligi kuu ya soka ya England inatarajia kuendelea tena wikendi hii kwa michezo kadhaaa.

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani