LIGI KUU ENGLAND 2015/16: Je, msimu ujao mabingwa ni Arsenal au Manchester United?
>Baada ya wiki iliyopita Manchester United na Arsenal kutoka sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Old Trafford, timu hizi zilionyesha kwamba haziwezi kuitoa Manchester City katika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu England huku zikiwa zimeishakubali Chelsea kuwa bingwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.Com
JEZI MPYA YA MANCHESTER UNITED MSIMU UJAO 2015/16

9 years ago
Mtanzania08 Dec
Mourinho ahofia Ligi ya Mabingwa msimu ujao
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho amekiri kwamba itakuwa vigumu kwa timu yake kufuzu kwa Klabu Bingwa
barani Ulaya msimu ujao kutokana na mwenendo mbaya wa klabu hiyo.
Mwishoni mwa wiki iliyopita klabu hiyo ilikuwa kwenye uwanja wa nyumbani Stanford Bridge na kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao Bournemouth, kwenye mchezo wa Ligi Kuu nchini England.
Kichapo hicho ni cha nane katika michezo 15 ya Ligi Kuu, kimewaacha mabingwa hao watetezi wakiwa katika nafasi ya...
10 years ago
Africanjam.Com
JEZI MPYA YA ARSENAL MSIMU UJAO 2015/16

Kwa wale wanaojiuliza ni lini Arsenal watatoa jezi zao mpya za Puma kwa ajili ya msimu wa 2015/2016, jibu hili hapa. Jezi za nyumbani za Arsenal zitakazotumika msimu ujao wa 2015/2016 zimevuja….hivyo mashabiki wa London na duniani kote wajiandae kupata mzigo mpya.
5 years ago
BBCSwahili15 Feb
Manchester City: Uefa yawapiga marufuku mabingwa watetezi wa ligi ya England
10 years ago
BBCSwahili04 May
Chelsea mabingwa wapya Ligi Kuu England
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Arsenal yapeta Ligi Kuu England
11 years ago
BBCSwahili31 Dec
11 years ago
GPL
ARSENAL YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Ligi ya Mabingwa 2013-2014: Tumaini la mwisho kwa Manchester United