Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ligi ya Mabingwa 2013-2014: Tumaini la mwisho kwa Manchester United

>Manchester United, ambayo msimu huu inaonekana kupoteza nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa wa Ulaya, wiki hii itaanza kutupa kara zake za mwisho kwenye michuano hiyo wakati wa mechi za robo fainali zitakazochezwa kesho na keshokutwa

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ligi ya Mabingwa 2013-2014

Hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya 2013/14 itaendelea kesho na keshokutwa.

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU ENGLAND 2015/16: Je, msimu ujao mabingwa ni Arsenal au Manchester United?

>Baada ya wiki iliyopita Manchester United na Arsenal kutoka sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Old Trafford, timu hizi zilionyesha kwamba haziwezi kuitoa Manchester City katika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu England huku zikiwa zimeishakubali Chelsea kuwa bingwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Manchester City: Uefa yawapiga marufuku mabingwa watetezi wa ligi ya England

Manchester City imepigwa marufuku kushiriki katika ligi ya mabingwa kwa misimu miwili na Uefa

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YABAMIZWA BAO 2 - 1 KUTOKA KWA AZAM NA KUWA MABINGWA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA 2014 - 2015


Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la...

 

10 years ago

GPL

MANCHESTER UNITED ILIVYOPELEKA KILIO KWA MANCHESTER CITY

Wachezaji wa Manchester United wakishangilia baada ya ushindi wao wa 4-2 dhidi ya Manchester City. Ashley Young akifunga bao la kwanza kwa Man United dakika ya 14. Marouane Fellaini akiifungia Manchester United bao la pili dakika ya 28.…

 

11 years ago

GPL

AZAM FC BINGWA LIGI KUU BARA 2013/2014

Ni baada ya kuilaza Mbeya City bao 2-1 katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya hivi punde na kufikisha jumla ya pointi 59 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani