BATULI KUOLEWA SOON

Stori: Gladness Mallya GOOD news kwa mtoto mzuri Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ni kwamba anatarajia kuolewa hivi karibuni baada ya kuishi maisha ya upweke kwa muda mrefu, Risasi Jumamosi linakujuza. Msanii wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’. Batuli ambaye ni mama wa watoto wawili, ameliambia Risasi Jumamosi kuwa kwa umri alionao, amejifunza vitu vingi katika maisha hivyo kwa kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
BATULI LAIVU NA MWANAUME
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Maruhani yamtesa Batuli
NYOTA wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, amesema kila aingiapo kwenye kazi ya kurekodi filamu, anapatwa na tatizo la kupandisha maruhani (mashetani), jambo ambalo linamkosesha raha. Akizungumza jijini Dar es...
11 years ago
GPL
BATULI, MTUNISI KIMEELEWEKA
10 years ago
Bongo Movies29 Dec
Batuli: Nayachukia Mapenzi Yaliyopita
Mrembo na mwigizaji wa kike wa filamu za hapa Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho kinamuuza na kukichukia kama mapenzi yaliyopita.
Akizungumza na mwandishi wa GPL, Batuli alisema kuwa anachukia na kudharau mno uhusiano uliopita kwani haukuwa ni sahii kwake hivyo hataki hata kuukumbuka.
“Nayachukia sana mapenzi yaliyopita kwa kweli na kuna wakati sipendi kabisa kuifanya akili yangu ikumbuke uhusiano wa nyuma, maana hauna kumbukumbu nzuri kwangu,” alisema...
10 years ago
GPL
BATULI AELEZA SABABU ZA KUTOOLEWA
11 years ago
GPL
BUSU LA BATULI, CHILO UTATA!
10 years ago
GPL
NYUMBA YA BATULI YATEKETEA MOTO
11 years ago
GPL
BATULI ATESWA NA DAWA ZA KULEVYA
10 years ago
GPL
BATULI, WEMA HAWAIVI TENA!