Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BATULI ATESWA NA DAWA ZA KULEVYA

Na Gabriel Ng’osha
MWANADAFADA kutoka Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa anaumia kuona listi ndefu ya Wabongo wanaosubiri kunyongwa nchi mbalimbali kwa kukutwa na dawa za kulevya. Mwanadada kutoka Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ akipozi. Batuli alisema kinachowaponza vijana wengi ni kupenda fedha za chapuchapu, matokeo yake wanaambulia kifungo cha maisha na wengine...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Batuli: Naumia Vijana Kuteketea na Dawa za Kulevya

Msanii wa Bongo movie Batuli ameonyesha kuumizwa mno na vijana ambao wanajiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya na kupelekea kuharibu maisha yao pamoja na ndoto zao.

Batuli ameeleza hayo kupitia moja ya mtandao wake wa kijamii wa Twitter alipokuwa akiwasihi watu kuunga mkono vita dhidi ya dawa za kulevya nchini Tanzania, ili kuokoa maisha ya vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa.

Tatizo la dawa za kulevya limekuwa janga kubwa kwa kizazi cha sasa ambapo wahanga wakubwa wa tatizo hili ni...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Adhabu kali si dawa ya dawa za kulevya

Hakuna "uhusiano wa moja kwa moja" kati ya adhabu kali na hatua za kukomesha matumizi ya dawa za kulevya.

 

10 years ago

Mwananchi

Biashara ya dawa za kulevya

alum Zakwa ni mfanyabiashara mkubwa wa dawa za kulevya. Hii ni biashara inayompatia fedha nyingi sana ambazo zimemfanya awe tajiri mkubwa katika jiji la Dar  es Salaam. Biashara hii ameifanya kwa siri kubwa na ni watu wachache wanaojua siri hii mbali na vijana wake wawili Vasco na Liston. Endelea kusoma …

 

11 years ago

Mwananchi

Wanawake wanaswa na dawa za kulevya

Kikosi Kazi cha kupambana na Dawa za Kulevya, kimekamata watu wawili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kiamataifa wa Julius Nyerere, wakiwa wamemeza zaidi ya kete 187 za dawa za kulevya aina ya heroin ambazo thamani yake haijajulikana.

 

10 years ago

Habarileo

Utumiaji dawa za kulevya waongezeka

MATUMIZI ya dawa za kulevya nchini yameongezeka kwenye mikoa 12 nchini yakionesha dawa aina ya heroini na bangi zikiongoza kwa kutumiwa zaidi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dawa za kulevya zaundiwa kitengo 

HARAKATI za kupambana na uingizaji, uuzaji na utumiaji wa dawa za kulevya zimeingia katika sura mpya baada ya serikali kuamua kuunda kitengo maalumu katika Mahakama Kuu kitakachoshughulikia kesi za dawa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Silaha, dawa za kulevya zinaingiaje?’

MBUNGE wa Viti Maalum Moza Abeid (CUF) ameihoji serikali na kutaka itoe maelezo ni kwa njia gani zinatumika kuingiza bidhaa mbalimbali nchini kinyume cha sheria ikiwa ni pamoja na uingizaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani